donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Kweli mkuuImekosekana tu juice ya embe hapo...
Hahahah,daaah.Leo afadhali umetukumbuka na sisi wa Tandale, mara nyingi unarusha mboga saba, minofu, mizagazaga na madikodiko ya kufa mtu.
Shukrani mkuu, mdudu nitamuendea baadae pale picnic barMimi napiga mdudu hapa...karibu
Sawa
Mimi nimetengeneza mwenyewe lakini naona nimebug...Shukrani mkuu, mdudu nitamuendea baadae pale picnic bar
HahahahaaaaaUmeshauona mchana kaka au ndio hii picha unasukumia na maji?
Umetengeneza mwenyewe kweli?!Mimi nimetengeneza mwenyewe lakini naona nimebug...View attachment 725875
Nimetengeneza mwenyeweUmetengeneza mwenyewe kweli?!
Hilo sinia mmh, sio umeagiza?!
Hahahahaaaaa
We acha tu, humu kila mmoja hula lunch ya kiwango cha juu bana lakini kila mmoja anajua siri juu yake
HongeraNimetengeneza mwenyewe
Ni kweli kabisa, huyu mdau anajitajidi sana..Uzuri macho hayaoni yaliyofichwa kwenye matumbo, tungekua tunakimbiana. Lakini donlucchese yuko vizuri kwenye hii tasnia, hajawahi kutuangusha.
Hahaha hilo ndio zimeenea hapo..visahani vya udongo mzigo wote usingeenea hapoUmetengeneza mwenyewe kweli?!
Hilo sinia mmh, sio umeagiza?!
Umetengeneza mwenyewe kweli?!
Hilo sinia mmh, sio umeagiza?!
Hahaha hilo ndio zimeenea hapo..visahani vya udongo mzigo wote usingeenea hapo
Hahaha hapana mkuu hahahahaha nimecheka sana aisee...Mkubwa, ina maana huo mzigo wote unaupoteza peke yako?