Wakati wa kumtafuta mchawi uishe

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,227
6,666
Kila kukicha au kutwa macho kwenye vyombo vya habari au masikio vijiweni, maofisini, faragha na kadhalika, kujua ni nani katumbuliwa au atatumbuliwa.

Naamini ujumbe umefika kwa sisi sote kujua mwelekeo wa Serikali ya Dr Magufuli, japo kuna masikio ya kufa.

Ni wakati wa Serikali sasa kuziba mianya yote inayotumika kudidimiza uchumi na maendeleo ya nchi ya Tanzania.

CHAMBUA CHUNGUZA AMUA CHUKUA HATUA
 
Back
Top Bottom