Wakati unasifia hii hali ya hewa ya ubaridi

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
Wakati unasifia hii hali ya hewa ya ubaridi,

napenda kukujulisha yafuatayo:

1)Pampas ni Tshs 38,000/= kwa Pack moja

2)SMA Milk Tshs 52,000/= kwa kopo

3)Bima ya mtoto ya Afya 1,540,000/= kwa mwaka

4)Gharama za mama kujifungua hospitali nzuri si chini ya Tshs 700,000/=

5)Baby Walker Tshs 110,000/=

6)Beseni la kumwogeshea mtoti 100,000/=

Sasa ww Neng'eneka tu kujitia una jini mahaba.
 
*Badala ya pampas atavaa nepi.
*Maziwa atanyonya ya mama ake.
*hayo yalobakia yote ni luxury tu.

kuna la ziada? maana sie tunafyatua tu sasa hivi.
 
Wakati unasifia hii hali ya hewa ya ubaridi,

napenda kukujulisha yafuatayo:

1)Pampas ni Tshs 38,000/= kwa Pack moja

2)SMA Milk Tshs 52,000/= kwa kopo

3)Bima ya mtoto ya Afya 1,540,000/= kwa mwaka

4)Gharama za mama kujifungua hospitali nzuri si chini ya Tshs 700,000/=

5)Baby Walker Tshs 110,000/=

6)Beseni la kumwogeshea mtoti 100,000/=

Sasa ww Neng'eneka tu kujitia una jini mahaba.
Bora yetu sisi ambao hatujaoa
 
Back
Top Bottom