waweza kuwa wewe ndiye mjinga , hivi ni mwananchi gani asiyewajua waliomshambulia Lissu na aliyewatuma ?Kwa hiyo mnataka mtumie hilo kupatia kura.. ..hivi wananchi ni wajinga hivi...
Wewe unaunga mkono magaidi? Siku boko haram wakivamia na kuanza kushambulia watu mitaani kwa risasi utaona ni sawa?Kwa hiyo mnataka mtumie hilo kupatia kura.. ..hivi wananchi ni wajinga hivi...
Wajinga nyinyi-king kaka.Kwa hiyo mnataka mtumie hilo kupatia kura.. ..hivi wananchi ni wajinga hivi...
Hujajua hata pointi yangu ilipowaweza kuwa wewe ndiye mjinga , hivi ni mwananchi gani asiyewajua waliomshambulia Lissu na aliyewatuma ?
Hapana siungi mkono ugaidi.... Ila hapo ni kupanda pandikizi la chuki baina ya raia na serikali kwa manufaa yenu wenyewe... Bila kujali athari zitakazotokea baadaye...Wewe unaunga mkono magaidi? Siku boko haram wakivamia na kuanza kushambulia watu mitaani kwa risasi utaona ni sawa?
Unaendeshwa na mihemkoWajinga nyinyi-king kaka.
dodge
Hapana siungi mkono ugaidi.... Ila hapo ni kupanda pandikizi la chuki baina ya raia na serikali kwa manufaa yenu wenyewe... Bila kujali athari zitakazotokea baadaye...
Dola ipi!? Hii iliyowekwa mfukoni na huyo anajiona ana akili kuliko waTz wote au!?Lisu anakitafuta kifo na atakufa dola haichezewi
Mimi siwajui .. naomba uwataje tafadhaliwaweza kuwa wewe ndiye mjinga , hivi ni mwananchi gani asiyewajua waliomshambulia Lissu na aliyewatuma ?
Waliotaka kumuua Lissu siyo dola , ni watu binafsi waliolewa madaraka , hata hivyo wameshindwa na watashindwa mileleLisu anakitafuta kifo na atakufa dola haichezewi
Hemu kaa utulie ufanye mambo yako,kwa taarifa yako tu ni kwamba Le Mutuz ni rafiki na mshauri mkuu wa Bashite,halafu Bashite ni mtoto na mshauri mkuu wa baba yake Sasa angalia hiyo chain halafu uniambie sisi Kama taifa tunaelekea wapi!!!! No wonder rais anawaambia wananchi wafyatue watoto maana elimu ni bure, development partners anawaita mabeberu eti wanatuonea wivu tunanunua ndege kwa cash. Tehwaweza kuwa wewe ndiye mjinga , hivi ni mwananchi gani asiyewajua waliomshambulia Lissu na aliyewatuma ?
Kwamba mpewe ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitano kisa tu risasi za Tundu Lissu? Mnadhani mahitaji ya wananchi na taifa kwa ujumla ni risasi za Tundu Lissu? Kama hamjui priorities kwa kiasi hiki basi ni ngumu sana mkashika dola.waweza kuwa wewe ndiye mjinga , hivi ni mwananchi gani asiyewajua waliomshambulia Lissu na aliyewatuma ?
Madaraka tutapewa na wananchi hilo halina shaka , ila nadhani uliniquote bila kuelewa nilichoandikaKwamba mpewe ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitano kisa tu risasi za Tundu Lissu? Mnadhani mahitaji ya wananchi na taifa kwa ujumla ni risasi za Tundu Lissu? Kama hamjui priorities kwa kiasi hiki basi ni ngumu sana mkashika dola.