benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,069
Nimefurahishwa sana na ujumbe wa mheshimiwa JK, na huu uwe kwa wote sio kwa Januari tu, chochote unachotaka maishani usikilazimishe kabla ya wakati na pia unapokosa usililete Nongwa.
Nikiliongelea hili kwenye field yangu ya mapenzi ni kwamba nyie wakina dada kama humsomi jamaa chapa lapa mapema kina kaka pia kama humsomi mdada kimbia usijeuke nyuma.
Kwenye mapenzi hamna kulazimisha kaka ukinyimwa papuchi, jikung'ute endelea na shughuli zako sio uanze kumzushia dada wa watu maneno ya ajabu mitaani.