Watanzania ni Nani kawaroga?
Wakati JPM akijitahidi kuifanya Tanzania ifikie uchumi wa kati. Nadhani umasikini WA nchi hii unatokana na viongozi hasa wa hili lichama kukosa maono au mbinu mbadala za kuwapeleka Watanzania wanapotaka kwenda. Waziri wa wizara Kubwa anasafiri kwenda makao Makuu ya Toyota Japani anatumia pesa za Watanzania masikini kuomba kiwanda cha magari.
WakatiWatanzania wakiomba kiwanda cha magari toka TOYOTA, Wakenya waliomba kiwanda cha mbolea kutoka kampuni hiyo hiyo ya TOYOTA ambacho muda si mrefu watakifungua na kuondoa Kabisa uagizaji wa mbolea toka nje.
Mi sio mchumi ila sijui Watanzania wangapi watanunua hayo magari huku Tukiwa na kauli mbiu kibao Kama
Kilimo ni uti wa mgongo.
Kilimo kwanza.na nyingine nyingi. Vijana mnafukuzwa mkalime mtachukua hayo magari muyappeleke shambanini.