msuyaeric JF-Expert Member Joined Dec 18, 2014 Posts 862 Reaction score 1,261 Mar 24, 2026 #1 Jaji Chande na tume yako tunataka kusikia haya kwa ufasaha kabisa!.. 1. Nani alifadhili machafuko yale? Nani alipokea hela za Open Society kufanya vurugu zile? 2. Nani ndani ya CHADEMA alipanga vurugu zile na mapinduzi ya serikali? 3. Nani aliruhusu JWTZ watoke kambibi Lugalo na kuungana na wahuni kufanya vurugu? 4. Nani alitoa silaha ndani ya JWTZ na zikatumika kuuwa askari waliokuwa wanalinda uchaguzi? 5. Nani alisukuma waumini wa kanisa la Gwajima kuchoma moto vituo vya mafuta hasa pale Shekilango? 6. Nani aliyekodisha Mungiki na kuchoma ofisi za umma kule Mwanza na Arusha? 7. Nani aliwapa UFIPA hela kusafirisha wahalifu kuja kufanya vurugu Dar Es Salaam na kuchoma9 moto magari kwenye yard pale bandarini!. TUNASUBIRI KWA HAMU sana haya majibu.
Jaji Chande na tume yako tunataka kusikia haya kwa ufasaha kabisa!.. 1. Nani alifadhili machafuko yale? Nani alipokea hela za Open Society kufanya vurugu zile? 2. Nani ndani ya CHADEMA alipanga vurugu zile na mapinduzi ya serikali? 3. Nani aliruhusu JWTZ watoke kambibi Lugalo na kuungana na wahuni kufanya vurugu? 4. Nani alitoa silaha ndani ya JWTZ na zikatumika kuuwa askari waliokuwa wanalinda uchaguzi? 5. Nani alisukuma waumini wa kanisa la Gwajima kuchoma moto vituo vya mafuta hasa pale Shekilango? 6. Nani aliyekodisha Mungiki na kuchoma ofisi za umma kule Mwanza na Arusha? 7. Nani aliwapa UFIPA hela kusafirisha wahalifu kuja kufanya vurugu Dar Es Salaam na kuchoma9 moto magari kwenye yard pale bandarini!. TUNASUBIRI KWA HAMU sana haya majibu.
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 24,228 Reaction score 39,776 Mar 24, 2026 #2 Si aliyeunda tume alisema waliondamana ni wakenya sio watanzania. Sasa haya yametoka wapi?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,107 Reaction score 859,330 Mar 24, 2026 #3 Ripoti halisi ilishatoka ikakataliwa