Wakati Serikali ya Samia ikijitetea huko Geneva, Maovu yake yazidi kuanikwa na vyombo vya habari vya Kimataifa

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Kama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni.

Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana wa Arusha Wachokonozi. Hii ni siku chache tu baada ya Serikali ya Samia kupeleka Utetezi feki kwenye kikao cha Umoja wa Mataifa kinachohusu masuala ya Haki za Binadamu huko Geneva, Uswizi.

Screenshot_20250623-101459_X.jpg

Mungu wabariki wazungu
No Reforms No Election ✊️✌️
 
Hili ndo gazeti na TV mbaya sana kuliko CNN. Hawa wanashughulika na Business Reports zaidi, wanasababisha watu wanaopenda demokrasia wakatae kuja kuwekeza. Mambo kama haya yanasababisha uwekezaji kuwa chini sana. Kwa upande mwingine turekebishe haya mambo, tuko na sababu zote wawekezaji kuja. Reforms(kisheria na jinsi viongozi wanavyoendesha nchi) zinatakiwa. Tumekosa wawekezaji wengi sana kwa sababu siasa zetu haziaminiki. Mfano muwekezaji anayependa demokrasia na anayetoka nchi ambayo ni ya kidemokrasia hawezi wekeza kwa kujiamini na akalipa kodi kwenye nchi ambayo itatumia kodi hizo kunyanyasa raia. Tuna nchi nzuri sana. Tusiilinde kwa uchoyo/ubinafsi wa kuteka wengine hili tubaki madarakani. Kwa mfano wengine hatuko kwenye siasa, tunachotaka kuwe na utulivu wa hiari si wa kulazimishwa na polisi. Utulivu wa hiari ndo uzalendo wenyewe. Utulivu na amani ya hiari unafanya kila mtu aipende nchi. Utulivu wa kulazimishwa unasababisha watu kuchukia viongozi na nchi
 
Kama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni.

Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana wa Arusha Wachokonozi. Hii ni siku chache tu baada ya Serikali ya Samia kupeleka Utetezi feki kwenye kikao cha Umoja wa Mataifa kinachohusu masuala ya Haki za Binadamu huko Geneva, Uswizi.

View attachment 3379700

Mungu wabariki wazungu
No Reforms No Election ✊️✌️
Idd Amin Mama.
Raisi wa hovyo kuwahi kutokea kwa hii nchi.
NO REFORMS NO ELECTION
 
Kama kawaida, Vyombo vya habari vya Kimataifa vinazidi kuyaanika maovu ya Serikali ya Samia dhidi ya Wananchi wanaotumia haki yao ya kutoa maoni.

Leo Chombo cha Kimataifa kinachoaminiwa sana Duniani kwa Taarifa za Uhakika za Biashara na Uchumi Bloomberg kimeripoti suala la kukamatwa kwa Vijana wa Arusha Wachokonozi. Hii ni siku chache tu baada ya Serikali ya Samia kupeleka Utetezi feki kwenye kikao cha Umoja wa Mataifa kinachohusu masuala ya Haki za Binadamu huko Geneva, Uswizi.

View attachment 3379700

Mungu wabariki wazungu
No Reforms No Election ✊️✌️
Yaani serikali inatesa watu wake kisa watu hao wanasema ukweli bila unafiki Alafu inaenda kujitetea Geveva hv hz ni Akili TIMAMU au ndio upoyoyo na ninajua lazima wamemtuma (kumswich) mjinga mmoja aende kupeleka ugolo wao Geneva.
 
Back
Top Bottom