Wakati santuri ya Dowans ikicheza vitambulisho vya utaifa vi wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati santuri ya Dowans ikicheza vitambulisho vya utaifa vi wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Mar 3, 2011.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 4,000
  Trophy Points: 280
  Wajameni tukiendelea kuparuana kuhusu ufisadi wa Dowans, ule mradi wa National Id cards umeishia wapi? Au wanangoja mpaka mwenye nchi RA asajili kampuni yake mara hii itatokea Malaysia maana safari zake huko zimekuwa nyingii hivi karibuni....! Kulikoni?
   
 2. Chechetuka

  Chechetuka JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 549
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni hivi karibuni, yapata takribani siku 7 zilizopita TBC1 walikuwa na mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Vitambulisho, na akasema kuwa zoezi linaendelea vizuri. Kusajiliwa kwa kampuni unayosema kutazuia au kuharibu vipi mchakato unaoendelea? Labda ungekuwa more specific on what exactly you want.
   
 3. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Zoezi linaendelea vipi? hebu tupe ABC alizosema huyo mkurugenzi maana hili si suala jipya limeshachukua miaka sasa. Huo mchakato una step ngapi kabla utekelezaji haujaanza?
   
 4. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ahadi ilishatolewa kwamba zoezi litafanyika ndani ya mwaka huu 2011!! ...hili swala hawa jamaa walijaribu kuchakachua lakini naona waligonga mwamba unakumbuka Masha alivyokua analalamika kwamba hananguvu juu ya huu mpango!!
   
 5. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  Wana Nyamagana waliamua kuusimisha.Kwa hasira mpaka mtu akaondoka na vitasa vya milango.
   
Loading...