Wakati mwingine, kujitoa bila malipo kunalipa

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,420
40,405
Huyu jamaa amefanyiwa 'surprise' ya ajabu sana; ameombwa tu kusaidia kushusha 'tv' kutoka kwenye gari bila malipo yoyote, naye akakubali; Kilichofuata ni kukabiziwa hiyo gari pamoja na tv.

Wakati mwingine kujitolea kunalipa.

NB: Vijana waliomaliza chuo na hawana ajira, nendeni sekta binafsi mkajitolee kwa nguvu zote; na muhakikishe mauzo yanaongezeka kwa kasi; hapo lazima muujiza uone.
Wapo watu wana mitaji mikubwa na wanatafuta watu 'potential' kuwawakilisha huko duniani; tatizo vijana hawaaminiki.

Ilo igizo tu ila ni kweli ukipata nafasi ya kujitolea fanya kazi wa bidii jitahidi kuwa mbunifu pia usikae kizembe zembe tu utaishiwa kupotezewa muda ukiona sehemu jau unasepa maana sio kila utakapojitolea utapewa shavu
 
Mh wadanganye madogo wakajitolee mpka wafe bongo bora ukafuge kuku kuliko kujitolea ofisi za maskini tu kazi kunyonya madogo bila mpango
Kujitolea kwao kuwe kuna tija katika uzalishaji; kama atakuwa anatengeneza hasara ni vigumu kuaminika
 
Ilo igizo tu ila ni kweli ukipata nafasi ya kujitolea fanya kazi wa bidii jitahidi kuwa mbunifu pia usikae kizembe zembe tu utaishiwa kupotezewa muda ukiona sehemu jau unasepa maana sio kila utakapojitolea utapewa shavu
Chukulia mfano, uwepo wako unasababisha kuwepo na faida kwa asilimia fulani; Unafikiri huyu ataachishwa?
 
Huyu jamaa amefanyiwa 'surprise' ya ajabu sana; ameombwa tu kusaidia kushusha 'tv' kutoka kwenye gari bila malipo yoyote, naye akakubali; Kilichofuata ni kukabiziwa hiyo gari pamoja na tv.

Wakati mwingine kujitolea kunalipa.

NB: Vijana waliomaliza chuo na hawana ajira, nendeni sekta binafsi mkajitolee kwa nguvu zote; na muhakikishe mauzo yanaongezeka kwa kasi; hapo lazima muujiza uone.
Wapo watu wana mitaji mikubwa na wanatafuta watu 'potential' kuwawakilisha huko duniani; tatizo vijana hawaaminiki.

Hya ni mambo ya kuact ww acha kudanganywa kiasibicho
 
Back
Top Bottom