Wakati mwingine kujinyonga sio dhambi

Wakati mwingine kujinyonga sio dhambi

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
747
Reaction score
1,462
Kuna wakati mtu unapitia mambo magumu sana tena sana na unaona hauna kabisa muelekeo wa kimaisha kila unachofikiria unaona hakileti muitikio chanya suluhisho pekee unaona bora ukatishe uhai wako.

Mwenyezi Mungu naye wakati mwingine anaangalia magumu anayoyapitia mja wake hivyo hawezi kukuhukumu kwa kitendo cha kujitoa uhai kwa kushindwa kuhimili misuko suko ya kimaisha.

Hivyo ile kauli ya kusema ukijitoa uhai moja kwa moja maisha yako yatakuwa ni ya motoni sio kweli.
 
Hakuna dini inayofundisha neno la Mungu, inayoruhusu kujinyonga.

Ukijiuwa ni wazi huna imani na Mungu wako wala humjui Mungu, kwahiyo wewe ni motoni tu.
 
Mwanaume kupambana, never give up, usikate tamaa wote choka mbaya ila tunaishi kwa kudra zake, simama tena jivue vyeo kama ni vyeti tupa kule pambana.

Believe me or not after one morth sio ww tena.
 
Kungekuwa na njia rahisi ya kujiua ningeshafanya hvyo tayari, ingekuwa bunduki inapatikn kirahisi ningeshakuwa marehemu yaani huwa nawaza kwann heart attack isinikumbe ikanimalizia mbali, dunian ni mahala katili sana kwa kiumbe hai, kuwemo, sometimes maisha yetu binadamu ni sawa tu na yale tunayoyaona kwenye vipindi vya wildlife, sometime unajiuliza kwann lakin hupati majibu kabisa, mwshowe ht mtu akikuhubiria habari za Mungu unashndwa kuelewa anamaanisha nn maana ukicompare na yaliyokupata na unayopitia unaona hakuna uwezekano wa wanayoyaongea kuwa ya kweli, usiombe yakukute aisee, hizi kauli za najuta kuzaliwa kumbe hazikutokeatokea tu kuna muda unafika unawaza hivi kwann wazazi walinizaa
 
Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema, anaweza kukusamehe. Lakini nakushauri usijinyonge, chukua hatua ndogondogo kubadili mwelekeo wa maisha yako.
 
Hata kama unaenda MOTONI KUJIHARAKISHA KUCHOMWA NI DHAMBI PIA
Hayo maneno kuhusu kwenda mbinguni na motoni' unayatoa kwenye kitabu gani?! kama 'quran" sawa ila kama ni biblia nipe kifungu tuone..! na kama utakikosa basi hakuna ukweli zaidi' unasikiliza propaganda za wachungaji' tu
 
kungekuwa na njia rahisi ya kujiua ningeshafanya hvyo tayari, ingekuwa bunduki inapatikn kirahisi ningeshakuwa marehemu yaani huwa nawaza kwann heart attack isinikumbe ikanimalizia mbali, dunian ni mahala katili sana kwa kiumbe hai, kuwemo, sometimes maisha yetu binadamu ni sawa tu na yale tunayoyaona kwenye vipindi vya wildlife, sometime unajiuliza kwann lakin hupati majibu kabisa, mwshowe ht mtu akikuhubiria habari za Mungu unashndwa kuelewa anamaanisha nn maana ukicompare na yaliyokupata na unayopitia unaona hakuna uwezekano wa wanayoyaongea kuwa ya kweli, usiombe yakukute aisee, hizi kauli za najuta kuzaliwa kumbe hazikutokeatokea tu kuna muda unafika unawaza hivi kwann wazazi walinizaa
Kitu kingine mkuu,unakuta umemtegemea God for long time ,awe mwokozi wako .wanaotoboa tofauti kabisa na matarjio.wewe kila siku mabalaa,mpaka unahisi umemkosea nini.mwisho wa siku unaamua umuachie yeye tu ,japo uchungu Ni mwingi,masimango,maneno na kejeli.na muda nao unakimbia kweli
 
Kuna wakati mtu unapitia mambo magumu sana tena sana na unaona hauna kabisa muelekeo wa kimaisha kila unachofikiria unaona hakileti muitikio chanya suluhisho pekee unaona bora ukatishe uhai wako, Mwenyezi Mungu naye wakati mwingine anaangalia magumu anayoyapitia mja wake hivyo hawezi kukuhukumu kwa kitendo cha kujitoa uhai kwa kushindwa kuhimili misuko suko ya kimaisha.

Hivyo ile kauli ya kusema ukijitoa uhai moja kwa moja maisha yako yatakuwa ni ya motoni sio kweli.
Kwa hiyo unataka kujitoa uhai? wewe unadhani mafanikio unayapata kirahisi tuu.ni process ndefu sana.Kupambana ni jukumu aliloumbiwa na mwanaume.

Trust me,hili ni agizo la mungu mwenyewe kwamba tutakula kwa jasho,
 
Back
Top Bottom