Hiyo inaitwa piga piga na wewe, manake unapiga ukichemka unamwita mshikaji naye apige. huyu jamaa hata kama ni ndugu yako huwezi kumjua isipokua kwa yayo zake.
Mwanamke hata awe mzito kama tembo kwa wazee wa mgegedo huja kusikia maumivu kesho yake akishatoka eneo la tukio, ni sawa na kule kwetu kijijini enzi zile ukiwa na baiskeli ya Swala mrembo wa kijijini akikuomba lift unatoa lift bila kujali umechoka tena anakaa pale mbele kwenye chuma na ili usionyeshe weakness yako unakuwa unapumua kwa kuelekeza pua angani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.