Nauona mwisho wa UKAWA.Huko NCCR- Mageuzi Mbatia ni mzigo na atawaharibia chama. Haambiliki na wala hashauriki tangu alipopewa ubunge wa viti maalum. Anajiona anajua saaaana.
NCCR labda muwafunge Kengele, wameshawashtukia.ukawa ndiyo habari ya Tanzania, hakuna wa kuizuia.
Re: Wakati kina Mbatia wanalalamika Dar,CHADEMA wapo Tabora (Original title)Mods tuwaache ninyi basi mpost,mana tukiandika sie mawazo yetu mna-edit
BAVICHA, BAWACHA ana viongozi wakuu wako busy mikoani miaka yote, hawalali...
Kwenye UKAWA, kila mtu atakula urefu wa kamba yake.
CHADEMA wako vijijini, wilayani na mikoani kuamsha watanzania..... Hongera sana
Mfano: Kwenye kijiji kuna wananchi.... kuna mbuga za kufyeka ili watu walime..
Mwananchi atakaefyeka mbuga kubwa na kulima heka nyingi ndo atavuna mazao mengi..
Hivyo wakija kuunda ushirika, kila mkulima ataingia kwa hisa zake, wakulima hawatalingana....
Onyo: hakuna mahali popote mtu atalingana na mwingine... Hata wanafunzi hawalingani maksi za mitihani... aliyefanya juhudi kusoma na kujifunza atapata maksi nyingi...
Hata Malawi, Zambia, India, UK wanasiasa waliofanya juhudi watadominate.....
Natumaini NCCR na CUF wataelewa..... usawa hautafutwi mezani na kulalamika.....
CHADEMA endeleeni na mapambano kuelimisha wananchi...
CHADEMA muendelee kuwa wavumilivu katika siasa....
Mbatia hawezi kukubali kupelekeshwa pelekeshwa na akili ndogo Mbowe kama akina Mnyika, Lissu, Safari...Huko NCCR- Mageuzi Mbatia ni mzigo na atawaharibia chama. Haambiliki na wala hashauriki tangu alipopewa ubunge wa viti maalum. Anajiona anajua saaaana.
Tatizo Mbowe na Slaa wanapenda sana Udikteta, kwa Mbatia wamegonga mwambaMbatia sio mjinga mpaka ajitoe ukawa
Laana ya kumnyanyasa Zitto inawaandama CDMKama UKAWA itavunjika,hakuna rangi NCCR wataacha kuona.Afadhali CUF.
Kwi kwi kwi kwi!
Toka lini viti maalum vikaaminika?Kwani mbatia ni cuf?.. cuf ni watu makini sana..ila huyu mbatia napata mashaka nae..
Ueleweki umeandika nini.
Hata hueleweki! Kiherehere ni ugonjwa mbaya sana.
Acha ubaguzi, mbona jana CUF tulikuwa hapa kahama, hausemi, nyie mna matatizo sana