Wakati Katibu Mkuu CHADEMA akikamatwa wilayani Hai —Kilimanjaro; Katibu Mkuu CCM anaendelea na vikao Muleba mkoani Kagera.

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema atakayejihusisha na vitendo vya rushwa katika mchakato wa chama hicho tawala kusaka wagombea wake katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, atapoteza sifa za kugombea.
ccm+pic.jpg

Ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 30, 2018 alipokutana na wajumbe wa kamati ya siasa ya wilaya za Muleba na Biharamulo mkoani Kagera.

Bashiru Ally ataja sifa za wagombea uchaguzi wa Serikali za

Wakati hayo yakiendelea huko Muleba, jana katibu mkuu wa CHADEMA alikamatwa huko wilayani Hai kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kufanya mkusanyiko usio halali.
1-24-750x375@2x.jpg

.....
Tutatika tu. Maendeleo hayana chama.
Halali kwa CCM, haramu kwa CHADEMA.
 
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema atakayejihusisha na vitendo vya rushwa katika mchakato wa chama hicho tawala kusaka wagombea wake katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, atapoteza sifa za kugombea.
View attachment 981227
Ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 30, 2018 alipokutana na wajumbe wa kamati ya siasa ya wilaya za Muleba na Biharamulo mkoani Kagera.

Bashiru Ally ataja sifa za wagombea uchaguzi wa Serikali za

Wakati hayo yakiendelea huko Muleba, jana katibu mkuu wa CHADEMA alikamatwa huko wilayani Hai kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kufanya mkusanyiko usio halali.
View attachment 981233

.....
Tutatika tu. Maendeleo hayana chama.
Halali kwa CCM, haramu kwa CHADEMA.
.....halafu EU & US wakifanya yao kina Bashiru wanaanza kulialia hovyo!
 
Chadema Fuateni utaratibu acheni siasa za mitandaoni, Mara siasa ikulu Mara gari la serikali, huku mkiwa mmesahau hata KUB anatumia gari la serikali kwenda kununulia nyanya
 
Nilimheshimu sana mwalimu Bashiru enzi hizo.Niliamini yeye angekuwa ni muumini mzuri wa siasa za ushindani.Lakini kati ya makatibu wakuu wote wa ccm huyu kapitiliza kwa kujitoa ufahamu.kazidiwa hata na Makamba ambaye hakuwa na shule
 
Chadema Fuateni utaratibu acheni siasa za mitandaoni, Mara siasa ikulu Mara gari la serikali, huku mkiwa mmesahau hata KUB anatumia gari la serikali kwenda kununulia nyanya
Onesha ushahidi kwamba wanafuata siasa za mitandaoni....na kama wanafanya hvo afadhali maana wakifanya siasa za mtaani wanakamatwa.....maneno haya ya kilasiku kuusu cdm na mtandao hayakupi CV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom