Wakati idadi ya walioambukizwa virusi vya Corona Kenya ikiendelea kuongezeka, waziri wa Afya aendelea kupiga domo tupu, bila kutoa mikakati mipya

Kuna siku David ndii alisema kwamba ukoo wa kenyatta kiungo cha mili yao kinacho fanya kazi sana sio ubongo ni figo - kusafisha pombe mwilini
Sioni kama alikosea
Hahahaha, hahahaha. Yaani nikifikiria sana kwa undani nchi ya Kenya jinsi ilivyo, huwa hadi kichwa kinauma, mbona mambo mengine yapo wazi kabisa hayahitaji hata degree?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom