Ndugu jitahidi kuwa na akili ndio maana kuna thread nilikuambia ujipeleke mwenyewe Milembe.Hivi huoni hata aibu!? Katika majimbo 265 kote nchini, mna wabunge 36 tu...pamoja na kuunganisha nguvu ya vyama pinzani na kuachiana majimbo...Na bado mnajiona mmefanya vizuri!? Kuwa mkweli katika nafsi yako tu...Huna sababu ya ku-reply hii comment.
Mkuuu hilo ligamba naamini ni mtu ambaye hajifahamu na haelewi tu nini anaandika maana kila post yake inakuwa imejaa pumba na kila mchangiaji anamtoa akili na kumpondaNdugu jitahidi kuwa na akili ndio maana kuna thread nilikuambia ujipeleke mwenyewe Milembe.
CHADEMA ilipata Wabunge 35 wa kuchaguliwa kuongeza 36 Viti maalum
CUF - Ilipata wabunge 35 wa kuchaguliwa kuongeza 10 viti maalum
NCCR - Ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa
Hivyo idadi ya Wabunge Muungano wa UKAWA ni 117, huku wabunge wa kuchaguliwa wakiwa ni 71 sasa wewe hiyo 36 umeitoa wapi?
Nimekuambia jitahidi kuwa na fikra pana za kujenga kuliko kuendelea kujiaibisha hapa JF.
Naomba nikuulizeMkuu Mmawia kama kweli unakitumia kichwa chako vizuri ktk kutafakari basi naomba unijibu hili swali:hivi kati ya mtu ambaye alijijengea jina kutokana na mapambano na misimamo yake dhidi ya ufisadi nchini,akasimamia hoja yake hiyo ya kutotaka kukaa meza moja na mafisadi mpaka dakika ya mwisho NA yule ambaye naye miezi kadhaa iliyopita alitangaza kutokumpokea mtu yeyote mwenye tuhuma za ufisadi kutoka chama tawala,akipita huko na huko akiwananga mafisadi hao ktk mikutano ya hadhara halafu ghafla mwanasiasa huyo huyo anageuka na kwa kumkaribisha mtuhumiwa huyo huku akijaribu kumsafisha kwamba anasingiziwa tu,akisahau kwamba muda mfupi tu uliopita na yeye alikuwa akimwita fisadi.Je,utamwamini yupi hapo kati ya hao wawili?mahaba ya kijinga pembeni,jibu kama msomi!
Mkuu nakupa salute kwa point muruwaaaa,SALUTE SIR!!!!!!Naomba nikuulize
1. Hivi kati ya CCM na Lowasa ni upande upi ambao ni mchafu zaidi na unaongoza kwa UFISADI?
2. Kati ya hizi MEREMETA, ESCROW, KAGODA je Lowassa alihusika nazo?
3. Hii kashfa ya makontena inayoshamiri kwa sasa je hao wanaotuhumiwa kuhusika na utoroshaji huo ni familia ya Lowasa na je hao ni wanachama wa chama gani?
**Ndugu tambua kabisa kilichomfanya Slaa ayafanye yote hayo ni tamaa binafsi ikishinikizwa na yule mwanamke wake kwani kiuhalisia CCM ni chafu kuliko Lowassa hivyo kukimbilia CCM na kuanza kuisema CHADEMA kisa ujio wa Lowassa huyo mzee alichemka na ndio maana hakuna madhara yeyote yaliyoletwa na kuondoka kwake ndani ya CHADEMA.
Hivi huoni hata aibu!? Katika majimbo 265 kote nchini, mna wabunge 36 tu...pamoja na kuunganisha nguvu ya vyama pinzani na kuachiana majimbo...Na bado mnajiona mmefanya vizuri!? Kuwa mkweli katika nafsi yako tu...Huna sababu ya ku-reply hii comment.
Mzee wa G hatimaye kafutika kwenye sura ya nchi, lakini alikuwa na life expectancy ndefu sana! jamani tangu awamu ya kwanza YUPO! Awamu ya pili YUPO!! Awamu ya 3 TUPO!!! Awamu ya 4 YUPOOOO!!!! Tija ZERO; kejeli, porojo tu na mipasho tu! aargh! That was too much!
Naomba nikuulize
1. Hivi kati ya CCM na Lowasa ni upande upi ambao ni mchafu zaidi na unaongoza kwa UFISADI?
2. Kati ya hizi MEREMETA, ESCROW, KAGODA je Lowassa alihusika nazo?
3. Hii kashfa ya makontena inayoshamiri kwa sasa je hao wanaotuhumiwa kuhusika na utoroshaji huo ni familia ya Lowasa na je hao ni wanachama wa chama gani?
**Ndugu tambua kabisa kilichomfanya Slaa ayafanye yote hayo ni tamaa binafsi ikishinikizwa na yule mwanamke wake kwani kiuhalisia CCM ni chafu kuliko Lowassa hivyo kukimbilia CCM na kuanza kuisema CHADEMA kisa ujio wa Lowassa huyo mzee alichemka na ndio maana hakuna madhara yeyote yaliyoletwa na kuondoka kwake ndani ya CHADEMA.
Wewe uongee kigiriki au kirus ukweli unabakia pale kuwa cdm inazidi kukua na kuendelea ku shine,wakati ccm inazidi kupoteza uhalali wa kukubalika kwa watanzania maana kila mwaka wa uchaguzi ile percentage ya ushi ndi ina shukaYou guys are ready to fight for the wrong even if it means to die for it,you will.. ..Lowassa ni taasisi,hata Mbowe mwenyewe aliwahi kukiri kwamba Lowaasa hayupo peke yake,ana watu,na watu hao au marafiki wa Lowassa kama wanavyojulikana ndio hawa akina Chenge,Karamagi na wengineo wengi tu.So sehemu kubwa ya uchafu wa CCM umehamia CHADEMA pia japo kimwili bado wapo CCM Admit it guys,Mbowe amechemka sana,ilikuwa afadhari CHADEMA washindwe uchaguzi lakina heshima yake iliyojijengea ikabakia nayo kuliko kushindwa uchaguzi na kuipoteza heshima iliyojijengea miaka mingi kupitia jasho na damu,it was a grave mistake committed by Mbowe, but much worse by giving all the credits to Lowassa following CHADEMA's improved performance in 2015 general election and ignoring CHADEMA's members and cadres efforts who worked hard to get the party where it is politically today.
sasa hapo umecomment nn?Hivi huoni hata aibu!? Katika majimbo 265 kote nchini, mna wabunge 36 tu...pamoja na kuunganisha nguvu ya vyama pinzani na kuachiana majimbo...Na bado mnajiona mmefanya vizuri!? Kuwa mkweli katika nafsi yako tu...Huna sababu ya ku-reply hii comment.
Wewe uongee kigiriki au kirus ukweli unabakia pale kuwa cdm inazidi kukua na kuendelea ku shine,wakati ccm inazidi kupoteza uhalali wa kukubalika kwa watanzania maana kila mwaka wa uchaguzi ile percentage ya ushi ndi ina shuka
Cdm ndio chama dume hongera zao viongozi walio ktk mapambano ya kuhakikisha cdm haihujumiwi kama ilivyokuwa kwa nccr ya mrema,cuf ya lipumba
Wewe naona una chuki binafsi na lowasa na hata kama unazo hazisaidii kitu maana lowasa yupo ktk level nyingine kabisa,kama ni suara la ufisadi mmeliona leo baada ya miaka 8 ikiwa ni pamoja na kumkumbatia na kumpa kuongoza kamati ya bunge ya mambo ya nje,ufisadi huo hamkuuona?mnakuja leo kutokwa na mapovu kama mmekula uyoga wenye sumu kisa lowasa kahama kutoka kwenye chama chenu kichafu na kinacho nuka rushwa na uozo wa kila aina ya uchafu,lowasa na ccm nani mchafu zaidi ya mwenzake?leo hii kuna viongozi walishinikizwa na bunge lililopita kujiuzuru kwa kashfa ya escrow, lkn leo mmewarudisha na kuwapa nafasi nyeti ili waendelee kuwafirisi watanzania,kuna chombo kina nguvu kama bunge?wacha chuki binafsi na bhange zakoYou don't have a clue about politics at all. Katika nchi zinazoamini ktk maadili mtu kama Lowassa and co walipaswa kuepukwa,he was a baggage who was to be avoided at all cost. In America, mtu ukituhumiwa kwa makosa flani ya ukiukwaji wa maadili (ethical violation) mwanasiasa anayegombea nafasi flani ya kisiasa atakuepuka,hatataka kujiweka karibu na wewe kwa namna yoyote ile hata kama wewe ni rafiki yake wa karibu maana inaweza kumharibia,Afrika hususani Tanzania suala la maadili na ufisadi tunalichukulia ili mradi tu,kwa hulka hizi tulizo nazo ni ngumu sana kukomesha tatizo la ufisadi maana sisi wenyewe tunawatetea mafisadi na tupo radhi kuwapa hata ikulu kwavile tu wamehamia upinzani.What kind of thinking is this?
Mkuu hilo ni gamba na malaya la siasa hata ukisema vipi halielewi chochote na hao ndio wasomi wa lumumba wanao tegemewa ktk kitengo cha propagandasasa hapo umecomment nn?
hukumbuki majimbo mengi mmpora kura za wananchi? au ndo kusema hilo hulioni?
Wewe naona una chuki binafsi na lowasa na hata kama unazo hazisaidii kitu maana lowasa yupo ktk level nyingine kabisa,kama ni suara la ufisadi mmeliona leo baada ya miaka 8 ikiwa ni pamoja na kumkumbatia na kumpa kuongoza kamati ya bunge ya mambo ya nje,ufisadi huo hamkuuona?mnakuja leo kutokwa na mapovu kama mmekula uyoga wenye sumu kisa lowasa kahama kutoka kwenye chama chenu kichafu na kinacho nuka rushwa na uozo wa kila aina ya uchafu,lowasa na ccm nani mchafu zaidi ya mwenzake?leo hii kuna viongozi walishinikizwa na bunge lililopita kujiuzuru kwa kashfa ya escrow, lkn leo mmewarudisha na kuwapa nafasi nyeti ili waendelee kuwafirisi watanzania,kuna chombo kina nguvu kama bunge?wacha chuki binafsi na bhange zako
Hakuna aliye kwambia zzk hapa,Unamaanisha Prof Muhongo?Hivi tangu lini mlianza kumwamini Zitto?Zitto huyo huyo mliyekuwa mkituhumu kwamba anakula mlungula kutoka kwa mashirika ya umma na binafsi?Huyu mtu binafsi simkubali kabisaaa,ni bonge la mjasiliamali wa kisiasa,kuna uwezekano mkubwa watu waliokuwa wakineemeka na tatizo la mgao wa kutengenezwa wa umeme,wale waliokuwa wakifaidika na kesi ya IPTL na TANESCO na wale waliokuwa wakiwinda madili ya vitalu vya mafuta na gesi ndio waliomtumia Zitto na kamati yake kumng'oa ktk uwaziri.Siasa za Tanzania ni zaidi ya uzijuavyo.
Huyo huyo!!!""Yupi yule wa bunda au?
Esenti.....!!!!!Itakusaidia kupata usingizi
Mkuu alimaanisha wabunge wa kuchaguliwa kwa chama chenu cha Chadema kwa sababu hicho ndicho kigezo cha kuona mnakubalika kwa kiasi gani. Leo hii mnaingiza na viti maalum nk kuongeza idadi. Ila kati ya viti vya ubunge vya kuchaguliwa majimboni, kati ya majimbo 265 Chadema ina wabunge 35 tu. Hakuna cha kubisha.Ndugu jitahidi kuwa na akili ndio maana kuna thread nilikuambia ujipeleke mwenyewe Milembe.
CHADEMA ilipata Wabunge 35 wa kuchaguliwa kuongeza 36 Viti maalum
CUF - Ilipata wabunge 35 wa kuchaguliwa kuongeza 10 viti maalum
NCCR - Ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa
Hivyo idadi ya Wabunge Muungano wa UKAWA ni 117, huku wabunge wa kuchaguliwa wakiwa ni 71 sasa wewe hiyo 36 umeitoa wapi?
Nimekuambia jitahidi kuwa na fikra pana za kujenga kuliko kuendelea kujiaibisha hapa JF.