Mlishinda nyinyi ndio maana Lisu ni Rais.Upumbavu hauwezi kumuacha mtu huru.Aina hii ya wanaccm ndio wanaamini 2020 ccm ilishinda🤣🤣🤣
Mlishinda nyinyi ndio maana Lisu ni Rais.Upumbavu hauwezi kumuacha mtu huru.Aina hii ya wanaccm ndio wanaamini 2020 ccm ilishinda🤣🤣🤣
Kiswahili .Rudi darasani kibapara wewe."Tunawasajiri" ni kilugha????Wa kwetu tunawasajiri kwenye mapango huku tukisakwa🤣🤣🤣
Sio wanachama wote wanampigia kura mgombea aliepitishwa na chama.Wanachama M12 watiifu kwa serikali ya ccm.
Nchi imetetemeka na kutikisika.
Wow angalia watakurushia matusi hao na kukuita msaliti.Democracy haifanyi kazi na vichwa vyao vya panzi.Sio wanachama wote wanampigia kura mgombea aliepitishwa na chama.
Mimi nina kadi ya CHADEMA lakini nilimpigia kura JPM.
Bong'oa nikushughulikie.We ni pimbi
Tusi moja miaka yote ! aibu sana !Bong'oa nikushughulikie.
Bado nitaendelea nalo hadi jamaa atikisike.Tusi moja miaka yote ! aibu sana !
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣haka kajamaa ni kapuuzi kweli.
Milioni 12, CDM hii hii!
Sisi tunasonga
Wengine tunaamua kucheka kimya kimya tu mkuu!!
Kila la kheir!!!Sisi tunasonga
Ndio Mkuu. Unaona kwa nini CCM ni Haramu kusema katiba mpya.haka kajamaa ni kapuuzi kweli.
Milioni 12, CDM hii hii!
Hao milioni 12 ni wasomi wa mitandaoni watu wa Twitter na facebook, hao milioni 2 karibu wote wanaamka siku ya uchaguzi na kwenda kupanga foleni ya kupiga kura.Hii ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa CCM, Mh Chongolo alipokuwa anatoa takwimu za usajili wa wanachama wa CCM kwa njia ya kisasa, katika maadhimisho ya miaka 45 ya chama hicho huko Mkoani Mara, ametumia pia muda huo kumkabidhi kadi ya kidigitali mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan (Kumbe naye alikuwa hana!)
Hapa ndio ambapo unaweza kujiuliza, inakuwaje CCM yenye facilities zote inakwama kusajili wanachama wake kidigitali , Lakini CHADEMA yenye kesi kwenye Mahakama zote nchini Tanzania imeweza kusajili kidigitali wanachama zaidi zaidi ya milioni 12.7?
Tatizo la CCM liko wapi? Je, watu wameichoka kutokana na uduni wa maisha unaoongezeka kwa kasi , na kuifanya ccm kuwa chama cha viongozi pekee na watoto wao au kuna lingine?
Huamini eehh naile radi hamkuamini eehh.....mwendo wa Kimya kimyaUtakua unadanganya pia kama ukifikiri kwamba idadi itabakia hiyo hiyo kila mwaka.
Katiba Mpya ni muhimu kwa watanzania woteNdio Mkuu. Unaona kwa nini CCM ni Haramu kusema katiba mpya.
Chadema wanapewa makesi ya MICHONGO ni kwa sababu ya ukubwa wao.
Ni kosa kubwa wanafanya MaCCM kusajili digital Chama hakina watu hiki.
Ni Chama maiti.. wangebaki tu na propaganda za cha dola basi.
CCM ni kusanyiko la majangiliHii ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa CCM, Mh Chongolo alipokuwa anatoa takwimu za usajili wa wanachama wa CCM kwa njia ya kisasa, katika maadhimisho ya miaka 45 ya chama hicho huko Mkoani Mara, ametumia pia muda huo kumkabidhi kadi ya kidigitali mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan (Kumbe naye alikuwa hana!)