Infiltrator
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 205
- 333
.
Wakishindwa kwenye uchaguzi wanaanza kulalama wameibiwa kura.WAKATI CCM IPO "SITE" CHADEMA WANATAFUTA "LIKES" NA "RETWEETS"
Na Jackson Jonathan
Katika siasa za sasa, Chadema kimeonekana zaidi kama chama cha mitandaoni, kikitumia nguvu nyingi kwenye "Twitter" maarufu kama "X" kuliko uhalisia wa kisiasa.
Badala ya kuja na sera madhubuti, wamebobea katika porojo za mtandaoni, wakiamini kuwa "hashtag" ina uzito zaidi kuliko mikakati ya maendeleo.
Mazungumzo yao yamejaa "trending topics" badala ya mipango ya kumkomboa mwananchi wa kawaida.
Wanachojali zaidi ni "likes" na "retweets," wakipuuza changamoto halisi zinazowakabili wananchi.
Kwa upande mwingine, CCM, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake Dkt. Samia Suluhu Hassan, wapo “site” wakitatua changamoto za wananchi moja kwa moja.
Wakati wapinzani wakiendelea na mijadala ya mitandaoni, Dkt. Samia ameongoza chama na serikali yake kwa kuhakikisha wanajikita kwenye kutatua kero za msingi zinazowakabili wananchi kila siku.
Kuanzia kuboresha huduma za afya, elimu, mpaka miundombinu, Rais Samia yupo mstari wa mbele kuhakikisha kuwa maendeleo yanapatikana kupitia vitendo na si maneno.
Wakati Chadema wanasubiri "mention" mpya, CCM ipo kazini, ikisikiliza, kujibu, Kupokea na kutatua mahitaji ya wananchi kwa vitendo, si kwa "tweets."
Wapo site usiku mbona mchana hawaonekani ama wao sii wa kawaida.?Na Jackson Jonathan
Katika siasa za sasa, CHADEMA kimeonekana zaidi kama chama cha mitandaoni, kikitumia nguvu nyingi kwenye "Twitter" maarufu kama "X" kuliko uhalisia wa kisiasa.
Badala ya kuja na sera madhubuti, wamebobea katika porojo za mtandaoni, wakiamini kuwa "hashtag" ina uzito zaidi kuliko mikakati ya maendeleo.
Mazungumzo yao yamejaa "trending topics" badala ya mipango ya kumkomboa mwananchi wa kawaida.
Wanachojali zaidi ni "likes" na "retweets," wakipuuza changamoto halisi zinazowakabili wananchi.
Kwa upande mwingine, CCM, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan, wapo “site” wakitatua changamoto za wananchi moja kwa moja.
Wakati wapinzani wakiendelea na mijadala ya mitandaoni, Dkt. Samia ameongoza chama na serikali yake kwa kuhakikisha wanajikita kwenye kutatua kero za msingi zinazowakabili wananchi kila siku.
Soma Pia: Prof. Kitila Mkumbo: Wapinzani Wanauza Malalamiko, CCM inauza Mafanikio
Kuanzia kuboresha huduma za afya, elimu, mpaka miundombinu, Rais Samia yupo mstari wa mbele kuhakikisha kuwa maendeleo yanapatikana kupitia vitendo na si maneno.
Wakati CHADEMA wanasubiri "mention" mpya, CCM ipo kazini, ikisikiliza, kujibu, Kupokea na kutatua mahitaji ya wananchi kwa vitendo, si kwa "tweets."
Hizi Lugha za kujifariji haijawahi wasaiida sijui mnakomaa nazo Kwa faida ya nani hasa?Majambazi yako site yakipanga uhalifu dhidi ya wananchi walioko majumbani
Huko Simiyu ni balaa, Mwenyekiti wa Chadema wa wilaya, katibu na wanachama zaidi ya 60 wamejiunga CCM na kufunga kabisa ofisi ya Chadema wilaya.Katibu mkuu wao anailaumu CCM na TAMISEMI kwa kutowahamasisha wanachadema kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.
Wakati wenzao wanajiandaa na Uchaguzi wapo wapo bize Twitter kutafuta likes, comments na trending. Hakuna Chama cha hovyo kama Chadema Duniani kote.Wakishindwa kwenye uchaguzi wanaanza kulalama wameibiwa kura.
Nikiambiwa nichague kati ya CCM na shetani bora ya shetani asee ana hurumaMajambazi yako site yakipanga uhalifu dhidi ya wananchi walioko majumbani
Na Jackson Jonathan
Katika siasa za sasa, CHADEMA kimeonekana zaidi kama chama cha mitandaoni, kikitumia nguvu nyingi kwenye "Twitter" maarufu kama "X" kuliko uhalisia wa kisiasa.
Badala ya kuja na sera madhubuti, wamebobea katika porojo za mtandaoni, wakiamini kuwa "hashtag" ina uzito zaidi kuliko mikakati ya maendeleo.
Mazungumzo yao yamejaa "trending topics" badala ya mipango ya kumkomboa mwananchi wa kawaida.
Wanachojali zaidi ni "likes" na "retweets," wakipuuza changamoto halisi zinazowakabili wananchi.
Kwa upande mwingine, CCM, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan, wapo “site” wakitatua changamoto za wananchi moja kwa moja.
Wakati wapinzani wakiendelea na mijadala ya mitandaoni, Dkt. Samia ameongoza chama na serikali yake kwa kuhakikisha wanajikita kwenye kutatua kero za msingi zinazowakabili wananchi kila siku.
Soma Pia: Prof. Kitila Mkumbo: Wapinzani Wanauza Malalamiko, CCM inauza Mafanikio
Kuanzia kuboresha huduma za afya, elimu, mpaka miundombinu, Rais Samia yupo mstari wa mbele kuhakikisha kuwa maendeleo yanapatikana kupitia vitendo na si maneno.
Wakati CHADEMA wanasubiri "mention" mpya, CCM ipo kazini, ikisikiliza, kujibu, Kupokea na kutatua mahitaji ya wananchi kwa vitendo, si kwa "tweets."
Unadhani UWT wanalipwa kuchoma vitenge kama BAWACHA? Huku watu wanaamini katika kujitolea kukijenga chama na sio mtu, kama ilivyo CHADEMA. Mnajitoa sana kumjenga Mbowe kuliko Chama chenu.Hivi UWT kwa siku huwa mnapewa shs ngapi kuja kuandika huu ujinga wenu?
Shida yako ni kuchanganya mambo, CCM ni chama cha kisiasa. Shetani ni katika mambo ya Imani za kidini. Jifunze kutofautisha mambo kwanza.Nikiambiwa nichague kati ya CCM na shetani bora ya shetani asee ana huruma
UWT hamjawahi kuwa na akili timamuUnadhani UWT wanalipwa kuchoma vitenge kama BAWACHA? Huku watu wanaamini katika kujitolea kukijenga chama na sio mtu, kama ilivyo CHADEMA. Mnajitoa sana kumjenga Mbowe kuliko Chama chenu.
Naomba uelewe CCM ni hatari kuliko shetaniShida yako ni kuchanganya mambo, CCM ni chama cha kisiasa. Shetani ni katika mambo ya Imani za kidini. Jifunze kutofautisha mambo kwanza.
Hamna kitu mmepuyanga kama kumtuma yule Mzee wenu wa BAZECHA kuwasilisha Mipango yenu ya udini kwenye halaiki. Mmefeli sanaUWT hamjawahi kuwa na akili timamu