Wakati Bunge la Kenya likipinga Mzigo wa Kodi kwa Wananchi, Bunge letu wanapitisha kwa kishindo

Lalamika kwa facts sio maneno matupu kosoa kwa data hii sio serikali ya kenya ndugu Tinamipango yetu na sera zetu kama nchi.
 
Na cha kusikitisha ni kama hatujali kabisa, yaani ni kama hakuna kinacho tuhusu, utaona tunalalamika tukiwa tu kwenye vijiwe vya kahawa, kwenye Daladala na kadhalika.
Ongezea na jf kama ulivyolalamika
 
Na cha kusikitisha ni kama hatujali kabisa, yaani ni kama hakuna kinacho tuhusu, utaona tunalalamika tukiwa tu kwenye vijiwe vya kahawa, kwenye Daladala na kadhalika.
Naomba nipingane nawe kidogo sana.
Mimi sipingi ongezeko la kodo bali napinga matumizi mabovu.
Hivi ikiwa walipa kodi Tz ni watu 5,000,000
Na taifa lina watu 60ml lini tutafanya maendeleo?

Kwasasa wametanua wigo wa kodi tunalipa wengi, hivyo serikali itakusanya pesa nyingi za maendeleo.

Naomba tujikite kuhakikisha inatumika vizuri na sio kupinga kodi.
 
Hauko smart kiasi cha kujenga hoja na mimi Mkuu, kwa heshima naomba tuishie hapo
 
Hivi unaweza kuamini serekali iliyojiweka yenyewe madarakani ukitegemea ukuletee maendeleo utakua kichaa hawa ni wezi wanatafuta pesa za kupanga matokeo ya uchaguzi ujao kwenye Box la kura wanajua mziki wake miaka yote tunawatoa matenga Usitegemee maendeleo hata wakikusanya bei gani usitegemee maendeleo
 
Una vision Mkuu, walipa Kodi nchi hii walioandikishwa ni M3.8 ,ndio wanabeba Mzigo wa Watu M55-60.
Halafu hao hao wanaolalamika kulipa Kodi ndio walalamikaji wazuri wa mambo ya maendelo yanapokwama
 
Una vision Mkuu, walipa Kodi nchi hii walioandikishwa ni M3.8 ,ndio wanabeba Mzigo wa Watu M55-60.
Halafu hao hao wanaolalamika kulipa Kodi ndio walalamikaji wazuri wa mambo ya maendelo yanapokwama
Nchi zote zilizoendelea watu wake kuanzia 35% wanalipa kodi, lakini pia wanazitumia vizuri, hapa Tz hatulipi kodi na tunazitumia hizi kidogo vibaya.
Nashauri tulipe kodi zaidi tudai matumizi sahihi ya kodi.
 
Dodoma, Tanzania

Bunge lapitisha Bajeti kuu ya Serikali​

mjadala wa Bajeti ya Serikali uliofanyika kwa takribani wiki moja Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai amesema kuwa Wabunge waliopiga kura ni 385 ambapo waliopiga kura ya Ndio ni 361 sawa na asilimia 94, waliopiga kura isiyo ya maamuzi (hawajakataa wala kukubali) ni 23 sawa na asilimia 6 na Wabunge watano (5) hawakuwepo wakati wa zoezi hilo la upigaji kura.
Source : Parliament of Tanzania
 
Una vision Mkuu, walipa Kodi nchi hii walioandikishwa ni M3.8 ,ndio wanabeba Mzigo wa Watu M55-60.
Halafu hao hao wanaolalamika kulipa Kodi ndio walalamikaji wazuri wa mambo ya maendelo yanapokwama
ccm ikiondolewa ndani ya mwezi moja Tanzania itakuwa kama Dubai hawa jamaa wananya hadi damu hadi maiti
 
Nchi zote zilizoendelea watu wake kuanzia 35% wanalipa kodi, lakini pia wanazitumia vizuri, hapa Tz hatulipi kodi na tunazitumia hizi kidogo vibaya.
Nashauri tulipe kodi zaidi tudai matumizi sahihi ya kodi.
Kwanini tusianze kuondoa wezi wakodi kwanza badala ya kuendelea kuwaneemesha wezii wachache?
 
Bora ipigwe na Serikali kuliko mtu back
 
Mtaji ni huduma tunazopata kwa njia tofauti tofauti,Mzee lisiti lazima utoe usipotoa nakushitaki mil.3 itakuhusu
Serekali ya ccm wezi wakodi zetu wanashitakiwa wapi na faini analipa nani kwa wizi au sheria inakata upande moja ?

Hii kazi uliyopewa ya kutetea wizi wa kodi ningumu sana kuzidi kazi ya nguchawado
 
Kwa kifupi ile pesa wanajifanya wanaongeza kwa 1% ya payee wanapita mlango wa nyuma na kuja kuichukua yote kupitia Kodi ya majengo kwenye luku,kila ukiangalia,Kuna payee,mifuko ya jamii,bank,.
Kwenye malipo ya kawaida Kuna,Ewura,Rea,Tarula,luku,maji,bima,vat na mengine,mengi.
Kwa hali ya kawaida kazi ya serikali sio kupora pesa Bali kuleta unafuu wa maisha.wanakimbia majukumu yao ya kuwezesha,wanakuwa ombaomba.
Bila kuwekeza kwenye kuinua wananchi nchi haitaendelea,glandmalta inauzwa zaidi ya elftatu,hii ni aibu katika nchi yenye miaka 60tokea uhuru.
Ni wakati wa kupunguza import na kuongeza export.Hapa Sasa ni kuwezesha uchakataji wa bidhaa za kisasa tokea ndani na sio kuagiza kila kitu toka nje.Hii ni aibu.
 
Kibaya zaidi wanaiba na kwenda kuficha store,Bora wangepeleka kwenye economy development
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…