Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jun 5, 2015 #1 Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akielekea kujumuika na wananchi wake wa kijiji cha Luana kuchimba mifereji ya kutolea maji katika barabara ya kijiji cha Luana ambayo ameshirikiana na wananchi hao kuichonga
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akielekea kujumuika na wananchi wake wa kijiji cha Luana kuchimba mifereji ya kutolea maji katika barabara ya kijiji cha Luana ambayo ameshirikiana na wananchi hao kuichonga
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jun 5, 2015 Thread starter #2 naona ameamua kuachana na porojo na kujikita kwa wapiga kura
T TRUVADA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 4,539 Reaction score 1,773 Jun 5, 2015 #3 Tunataka watu kama hawa sio wale wakuja na suti
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,821 Jun 5, 2015 #4 Mwaka wa uchaguzi huu tutaona na kusikia mengi sana.
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,105 Reaction score 35,516 Jun 5, 2015 #5 Kazi kwelikweli
P. Majaribu JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 1,192 Reaction score 625 Jun 5, 2015 #6 FaizaFoxy said: Mwaka wa uchaguzi huu tutaona na kusikia mengi sana. Click to expand... Kama kanali Kinana kuona basi ni chombo salama cha usafiri kuliko ndege.
FaizaFoxy said: Mwaka wa uchaguzi huu tutaona na kusikia mengi sana. Click to expand... Kama kanali Kinana kuona basi ni chombo salama cha usafiri kuliko ndege.
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Jun 5, 2015 #7 Keshaona hao wapiga kura wake wehu..
Bob Roja Member Joined May 14, 2015 Posts 40 Reaction score 9 Jun 6, 2015 #8 Kipindi hiki cha uchaguzi watazibua mpaka vyoo
Lancashire JF-Expert Member Joined Sep 20, 2014 Posts 14,081 Reaction score 10,455 Jun 6, 2015 #9 Huo ndo mtaji.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 Jun 6, 2015 #10 mavideo camera ya nini kwenye uchimbaji wa mifereji??
DOGofGOD JF-Expert Member Joined Feb 15, 2015 Posts 1,341 Reaction score 480 Jun 6, 2015 #11 Hizi Ni Crash Programme Za Danganya Toto.Sidhani Kama Zilikuwepo Toka Mwanzo Wa Utumishi Wake.
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,910 Jun 6, 2015 #12 Huyu jamaa anakula pesa za bajeti ya serikari mwizi sana huyu. swissme