Gemini Are Forever JF-Expert Member Joined Sep 10, 2019 Posts 1,598 Reaction score 2,905 Jun 2, 2020 #21 Wang Shu said: Napita Click to expand... Unaelekea wap mkuu? Naomba nikusindikize 😛 😛 😛
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,433 Reaction score 872,032 Jun 2, 2020 #22 Bujibuji said: Mshana Jr, GuDume na Bia yetu Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo chemistry imegoma Jr[emoji769]
Bujibuji said: Mshana Jr, GuDume na Bia yetu Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo chemistry imegoma Jr[emoji769]
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,587 Reaction score 43,010 Jun 2, 2020 #23 chuki yenu kwa GENTAMYCINE itakufa kifo Cha Minneapolis
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,972 Reaction score 168,467 Jun 2, 2020 #24 Mshana Jr said: [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo chemistry imegoma Jr[emoji769] Click to expand... Kuna ka kemikali kanaharibu kachumbari
Mshana Jr said: [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo chemistry imegoma Jr[emoji769] Click to expand... Kuna ka kemikali kanaharibu kachumbari
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,667 Reaction score 123,446 Jun 2, 2020 #25 lifecoded Ndio mtu anayetuma madini ya maana zaidi humu kwa mtazamo wangu, Mtu hawi mkali eti kwa kutuma wingi wa comment bali kwa kutuma vitu vya maana na vyenye faida kwa jamii.
lifecoded Ndio mtu anayetuma madini ya maana zaidi humu kwa mtazamo wangu, Mtu hawi mkali eti kwa kutuma wingi wa comment bali kwa kutuma vitu vya maana na vyenye faida kwa jamii.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,705 Reaction score 128,213 Jun 2, 2020 #26 superbug said: chuki yenu kwa GENTAMYCINE itakufa kifo Cha Minneapolis Click to expand... Sijawahi Kuogopa Kuchukiwa hasa ukizingatia kuwa sikujiunga JF ili nipendwe kwani anayenipenda zaidi Baba Mwenyezi Mungu ananitosha sana tu.
superbug said: chuki yenu kwa GENTAMYCINE itakufa kifo Cha Minneapolis Click to expand... Sijawahi Kuogopa Kuchukiwa hasa ukizingatia kuwa sikujiunga JF ili nipendwe kwani anayenipenda zaidi Baba Mwenyezi Mungu ananitosha sana tu.
Gemini Are Forever JF-Expert Member Joined Sep 10, 2019 Posts 1,598 Reaction score 2,905 Jun 2, 2020 #27 The Icebreaker said: Mtu hawi mkali eti kwa kutuma wingi wa comment bali kwa kutuma vitu vya maana na vyenye faida kwa jamii. Click to expand... Point hii
The Icebreaker said: Mtu hawi mkali eti kwa kutuma wingi wa comment bali kwa kutuma vitu vya maana na vyenye faida kwa jamii. Click to expand... Point hii
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,852 Reaction score 203,878 Jun 27, 2020 #28 Sawaaaaah