Nyavoregwa
Senior Member
- Sep 17, 2021
- 118
- 326
Msaada wenu tafadhali ninatumia simu ya samsung Note9 ninahitaji app nzuri ya free ya kurekodia sauti kwa ajili ya matangazo nilizojaribu kuzidownload hazichuji sauti vizuri ila nilibahatisha moja nzuri sana ila inataka niilipie online