Wakali wa series, msaada wa Series kali za action/upelelezi/ugaidi

Wakali wa series, msaada wa Series kali za action/upelelezi/ugaidi

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,627
Reaction score
5,713
Tupeane series za kuangalia nzur pls za action/upepelezi/ugaidi

Naomba zinazofanania na hizi
Homeland
Prison break
Lastship
24


Naomba anayejua series zinazoelekea kma hizo pls nataka kuangalia nipunguze stress baada ya kuachwa
 
Alex raider Ni series ya mwaka Jana Ila 🔥🔥 na Game of throne japokua Ni ya mda kidog Ila kwangu Ni moja ya series ya muda wote
 
Yeah, Binafsi nilipoitazama seasin ya Nikita niliikubali sana. Imekamilika kila idara. Actions, upelelezi, mapenzi, maisha, ugaidi nk. Halafu sterling ni mwanamke, ni ya kimarekani, final ni ep 75
Movie ikishakuwa na sterring mwanamke sijui huwa naichukuliaje tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DANGER ZONE: THE DARKEST KNIGHT ni series kutoka Taiwan ina rate ya 8/10 ni bonge la series ina matumizi ya akili na ina mtiririko mzuri wa story binafsi sipendi kuangalia series za Taiwan sijui zakifilipino lakini hii nimeikubali una enjoy kabisa kazi kwako mkuu
 
Back
Top Bottom