Wakali wa Physics manasemaje juu ya hili?

Wakali wa Physics manasemaje juu ya hili?

mkuu tochi inakuwaje katka speed nayo?au ni movable?
Mkuu toch maaskari si wanazishika mkononi? Ni mobile na portable vile vile. Kile kitendo cha kuielekezeka kwako lazima kuna movement anafanya huyo askari
 
Back
Top Bottom