Wakuu heshima kwenu. Najaribu ku-upload website via FTP client (FlashXP na Filezilla). Baada ya ku-upload nimekwenda phpMyAdmin kushusha tables ili ni upload PLRBoy.sql lakini siioni site yangu. Hiki ndicho nachokiona.
kwenye phpmyadmin angalia sehemu ya kushoto juu imeandikwa database, click then itakupa option ya kutengeneza db mpya, andika jina la hiyo db mpya, ila kumbuka username na password ya iyo database, ili baadae ukianza kuinstall script yako itaomba username, pswrd, db name etc
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.