Wadau wa mobile and pc flight games natumaini mkoa poa. Nataka kufahamu kutoka kwenu ni flight games zipi kwako ni bora .tupeane uzoefu.
Kwangu mimi kuna
1. Realflight simulator
2. Airline commander
3. Turboprop.
Kwa upande wa PC, MFS2020 haina mpinzani so far..
Karibuni waungwana