Wakali wa Azam Tv

Wakali wa Azam Tv

Yaszone

Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
50
Reaction score
6
Jamani mimi nimetafuta decorder ya Azam Tv na nilipata channel 56 za kwao nikajaribu kuongeza frequency za Satellite hii yao ya Eutelsat 7A East zikaongezeka chaneli za bure 15 Tv, na 5 za Radio
Nawaombeni wakali wa Satellite kama wanayo maujanja ya kuongeza chaneli nyengine....please
 
Back
Top Bottom