Wakali kwa kucheza na Simu mko wapi?

Wakali kwa kucheza na Simu mko wapi?

Kuu unnlock imegoma?
Hapana mkuu, hata mimi nina Iphone toka Japan nikiweka laini ya hapa nchini inagoma kusoma lakini ikiwekwa laini ya huko Japan network inasoma kama kawaida.
Now natumia WiFi tu
K
 
Watalaam na mimi naomba msaada wenu niweze kufungua simu yangu;

Nina kasimu ka zamani kidogo Samsung J5, nimekuwa nikiitumia kwa muda mrefu sana tangu mwaka 2018 ila kwa sasa naifanya kama back up phone pale simu kubwa ikiisha chaji (mara chache sana naitumia).

Niliweka pattern pale ninapoiwasha na kuifungua, sasa juzi usiku wakati nataka kuitumia nikaingiza patterns mara kadhaa nikawa nimeikosea, kila nikizikumbuka zile pattern na kujaribu kuifungua haitaki.

Niliomba msaada kwa fundi simu akasema itabidi kuiflash na huenda ikafuta kumbukumbu zangu zote, kitu ambacho mimi sipo tayari kukifanya coz kuna vitu vingi sana vya muhimu nimetunza kwa hii simu hasa picha, video, namba na vinginevyo.

Msaada wenu please kama kuna njia nyingine ya kufungua simu pasipo kuiflash?
 
Unahangaikia nini ndugu? Nunua smart kitochi weka laini humo kisha washa wifi connect kisha kula raha, na itakaa chaji balaa, unaua ndege wawili kwa jiwe moja
Naomba unielekeze namna ya kushare data kati ya simu yangu kubwa na smart kitochi maana nikishare wi fi inakubali WhatsApp tuu. Kama chrome na operamin hazifanyi kazi
 
Kutoa lock simu ni proffesion za watu inabidi ujipange uwe na mabox ya kutosha na service kadhaa za kutoa lock, si kila simu inatolewa lock na code, vyema utafute fundi mzoefu.

Kuna uzi hapa anaclaim ametoa lock kwa kuflash file mbili

Imei za nchi hiyo na hapa kwetu haziingiliani. Hiyo imenunuliwa nje. Tatizo hilo limekuwa kubwa baada ya serikali kuja na operation ya kufungia simu fake. Ukitaka simu yako uitumie hapo unatakiwa ubadilishe imei tu
 
Habari zenu wa JF.

Jana nilianzisha uzi wa kuomba msaada hakika mpaka sasa sijapata msaada. Tofauti na kusema nimeandaa mpunga kwa atakaeweza nisaidia lakini wapi!

Maelezo yako hivi nina Samsung S8 plus.
Iko blocked kwenye upande wa Laini. Na imeblockiwa na Au ya Japanese.

Kila laini nayoweka inaniambia Invalid sim card blocked.

Ajabu ni kuwa haniombi hata Code za kuunlock angalau ingekuwa inaniomba code ningezisaka na nikajaza lakini aiombi.
Simu ni Samsung S8 plus
Model Number SCV35
Msaada wenu tafadhali...
Ulishapata msaada niko Dodoma 0685192925 nicheki
 
Watalaam na mimi naomba msaada wenu niweze kufungua simu yangu;

Nina kasimu ka zamani kidogo Samsung J5, nimekuwa nikiitumia kwa muda mrefu sana tangu mwaka 2018 ila kwa sasa naifanya kama back up phone pale simu kubwa ikiisha chaji (mara chache sana naitumia).

Niliweka pattern pale ninapoiwasha na kuifungua, sasa juzi usiku wakati nataka kuitumia nikaingiza patterns mara kadhaa nikawa nimeikosea, kila nikizikumbuka zile pattern na kujaribu kuifungua haitaki.

Niliomba msaada kwa fundi simu akasema itabidi kuiflash na huenda ikafuta kumbukumbu zangu zote, kitu ambacho mimi sipo tayari kukifanya coz kuna vitu vingi sana vya muhimu nimetunza kwa hii simu hasa picha, video, namba na vinginevyo.

Msaada wenu please kama kuna njia nyingine ya kufungua simu pasipo kuiflash?
Niko Dodoma kuna uwezekano wa ku unlock bila kupoteza kumbukumbu zako unaweza kunicheki 0685192925
 
Naweza Kupata Kioo Cha Huawei 20 Light
Na Gharama Yake Yaweza Kuwa Tshs Ngapi
 
Niko Dodoma kuna uwezekano wa ku unlock bila kupoteza kumbukumbu zako unaweza kunicheki 0685192925
Nitakutafuta Mkuu,

Mpaka leo hii simu nimeituliza tu ndani, sijatoa lock wala kupeleka kwa fundi kufanya flashing.
 
Imei za nchi hiyo na hapa kwetu haziingiliani. Hiyo imenunuliwa nje. Tatizo hilo limekuwa kubwa baada ya serikali kuja na operation ya kufungia simu fake. Ukitaka simu yako uitumie hapo unatakiwa ubadilishe imei tu
Imei inawezekana kubadilisha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom