Wakala wa Vodacom Singida ajiua

Wakala wa Vodacom Singida ajiua

hapo basi tena duh kakosa mbingu na raha ya duniani loh!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni kweli amechukua maamuzi magumu na mabaya ila kutokuwa na mshauri na tabia ya kupenda kukaa mwenyewe ni rahisi sana kuchukua maamuzi kama hayo.Mashaka alikuwa polite sana na mtu wa kujitenga.historia ya maisha yake pia yaeza kuwa ni kichocheo kikubwa cha maamuzi yake.ni ngumu sana kumuelewa ikiwa utaisoma thread hii kama ilivyoandikwa.all in all rest in peace buddy!
 
Hivi ushawahi kudaiwa na ngozi nyeusi? Lazima apige kambi nyumbani kwako.

Kama pesa ya kulipa ipo unamlipa, kama haipo unamwomba awe mvumilivu, kama hana uvumilivu basi achukue kitu alichowweka dhamana, kama hakuweka dhamana na hana uvumilivu basi aende mahakamani, akishinda kesi suala si linarudi palepale ulipe deni! DAWA YA DENI NI KULIPA, SIYO KUJIUWA, UKIJIUWA INA MAANA UTASHINDWA KULILIPA! SERIKALI YENYEWE INADAIWA TOKA MIAKA YA SITINI MPAKA SASA HAIJAMALIZA KULIPA MADENI!
 
Hivi ndo vifo, Tanzania tunaanza kuendelea angalau kidogo. Sio vifo vya visa vya mapenzi.
 
Afadhali ndugu zetu wa kaskazi wapo busy na xmass & MWAKA MWIYAAA cause 100% lazima mmoja angeucka,ingekua kelele tu huku jamvin
 
kutoa uhai wako wewe mwenyewe ni kosa kuliko kosa lolote lile kwanza wanasema virtually ni kujaribu kumuua Mungu mwenyewe. hivi mtu anapojiua anadhani ndo mwisho wa maisha? ni mwanzo tu wa maisha mengine kwingine, maisha ambayo huna willingness ya kuamua mambo wewe mwenyewe na cha msingi ni umeenda huo upande wa pili kivipi
 
Back
Top Bottom