Makamee
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 2,029
- 1,201
Wakala mkuu wa huduma za vodacom mkoani Singida anaejulikana kwa jina la MASHA COM amejiua usiku wa kuamkia leo kwa kujipiga risasi kwa kutumia silaha aina ya bastola anayoimiliki.
Chanzo cha kujiua kwake inasemekana ni madeni makubwa anayodaiwa toka kwa wafanyabiashara pamoja na taasisi za fedha.
Kamanda wa polisi Mkoa J.KAMWELA amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.