Wakala wa Shetani

Wakala wa Shetani

story nzuri lakini mwisho wake haujakidhi mahitaji kutoka mwanzo .mfano yule kiumbe wa ajabu ni nani? je hali yake ililudi kama zamani.pia mwisho wa mama yake kusekwa na mauaji aliyoyafanya ni upi.je jamii ya kinakusekwa ilibadilika kutka kwenye imani potofu.wale albino waliokuwa kwenye kambi ya mr brown waliokolewa au...umeniacha njia panda kwakweli..
 
hadithi ni nzuri ila ungo mwingi mpaka mtunzi kajisahau alianzia wapi kudanganya maana ilivyoanza jitu la ajabu ni kusekwa ambae aliokotwa akiwa na mkono mmoja anadandia miti kama nyani sasa imeisha kusekwa huyo huyo mkuu wa sheria sijui wakati ilitakiwa ifikie ilipoanzia ndio atafute hiyo happy ending asante lkn next time mtunzi awe makini kujua tunasoma na kufuatilia uhalisia wa hadithi
 
Back
Top Bottom