Wakala wa Bima

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
1,236
2,000
Habari wadau!
Naomba kufahamishwa namna gani naweza kufanya ili niweze kuwa wakala wa bima . vitu gani vinahitajika yaani kama kuna mtaji nk. Natanguliza shukran kwa mawazo yenu mtakayotoa.
 

lekitoshi

Member
May 13, 2014
14
20
mdau nimechelewa sana kuona post yako, nina maelezo mazuri kuhusu kufungua agency ya bima, cz nina dream kama zako na kama isingekua suala la mtaji basi ni siku nyingi ningeshafungua. naomba nitupie email kwa houlier1984@gmail.com then nitakupa no yangu ya simu kwa mawasiliano zaidi.
 

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,113
2,000
Nenda kwenye ofisi za TIRA utapata maelekezo na pia utapata fursa za kuuliza maswali. Ofisi zipo Mtendeni Dar Es Salaam... Kama uko nje ya DSM tembelea ofisibza Kanda husika!
 

BIR

Senior Member
Jul 29, 2013
132
225
Kifupi uwe na fedha kama milion 2.5, uwe umesomea au mtu aliyesome hiyo bima angalau level ya ertifiate, uwe na leseni ya biashara, na kampuni unayotaka kufanyia uwakala kwa msaada zaidi ni pm kama utakuwa na amswali zaidi!!
 

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
6,305
2,000
Kifupi uwe na fedha kama milion 2.5, uwe umesomea au mtu aliyesome hiyo bima angalau level ya ertifiate, uwe na leseni ya biashara, na kampuni unayotaka kufanyia uwakala kwa msaada zaidi ni pm kama utakuwa na amswali zaidi!!
Nataka kufahamu zaidi kuhusu uwakala wa bima!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom