Wakala M-Pesa, tiGo-Pesa, Airtel Money na Halo-Pesa

K
Upande wa Tigo pesa unapiga documents zako copy ya Rangi Tin number, Leseni ya Biashara na kitambulisho cha Nida na Tsh 25000
Upande wa Airtel Money uwe na documents na Tsh 21000

Upande wa M pesa unapiga documents zako copy ya Rangi na 21000

Hizo ndio laini za kuanzia nazo
Wa kawaida inachukua muda gani kupata hizo laini baada ya kukamilisha process zote?
 
Nasikia mpesa wamesitisha kutoa lain za uwakala wa mpesa.
Sahihi toka mwezi wa 7 na Airtel Money nao wamesitisha ila kwa wao unaweza kupata via mlango wa nyuma ila kwa voda haiwezekani. Hiyo ya tigopesa ahahakishe anaenda kwa super agent halisi mana tigo matapeli wengi anawezapata laini kanyaboya.
 
Sawa
 
Back
Top Bottom