Wakaka wamekuaje tena?

Kumbe umarioo Hauna umri....

Tunaisoma,wanaisoma
 
asante kwa hili desa,na pole kwa hayo.
hebu nichek ,
hawa ndiyo kina uchebe type....watu wema tupo hapa tunakauka na jua tu...
 
bonge la point ,waambie wajue shauri yao
 
Mwanamke akililia ndoa kimbia usigeuke nyuma, mwanamke akitoa hela yake afu baada ya siku mbili anaanza kununa pasi sababu kimbia huyo ni V8 injini kubwa atakukomba Kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…