bonge la point ,waambie wajue shauri yao...tatizo wanaume walio serious kuwaoa mnawaona hawafai na hao wasio kuwa serious ndo manawauna wanafaa...
We unaona kabsa mwanaume masaa 24 anatupia picha zaidi ya kumi status tena uku akirembua na kukaa pozi tofautitfauti uku akinesha thamana ya vtu alivyovyaa....afu unasema apa kuna mume..!
Wadada ukiona mwanaume anajipist post hovyohvyo kweny hii mitandao kuwa makini huyo sio mume bado akili haijafikia phase ya uanaume.