Wakaka/wababa kuweni romantic kidogo

uzi mrefu kumbe tatizo pesa! kumbe kuwa romantic ni rahisi hivi aisee...
 
cjui wanawake huwa wanapenda nin?,ulivyoandika hapo kuna dem mmoj hatak kuvickia.
 
Mapenzi ni two way traffic... ukipewa na wewe toa, usingoje kupokea tu...

cc: mahondaw
 
Chaajabu ni kwamba hapo zamani visuprise vya kijingajinga mnavyovidai cku hz havikuwepo lakin loh...ndoa zilidumu sanaaa..... Lakin cku hz mwanamke utapewa kilakitu unachokitaka.....lakin bdo hamtosheki....duh...matokeo yake ndoa nyingi na mahusiano, hazidumu.... Ni Myngu tu atusaidie ..maana kama ni kurudi kwa nyoka bas wenzetu mnarudi kwa kasi kuliko hata aliyeanza kudanganywa....
 
Wanaume wabakaji mm hata siwapendi romantic wanaota kwenhe ndoto
 
Ukipata mtu wa hvyo you need to learn how to be cool and ucwe unaweka vtu moyoni unaweza lia kila saa!
 
Mleta Mada Haya Mambo Ya Watoto Wa Masaki

Huku Kwetu Ukipeleka Vitu Kama Ivyo Watakuuliza Ndio Tuyale Hayo Sasa

Huku Labda Upeleke Dela Iv

Miguu Ya Kukuu

Hapo Utaeleweka
 
mimi wa tarime haya ya kubembeleza ntayaweza kweli,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…