Mkuu achaa tuu mimi sijamuoa bado lakini naona kabisaa hizo isharaa...!! Ana kiwanja nikawaza akiuze tufanye maarifa lakini baada ya kuwa na mambo ya kukumbushia pesa alizowahi toa na pengine kusema nimrudishie lakini baada ya muda ananiomba msamaha ni mara kibao tu.. Nimejifunza yani huwaga siulizii tema kuhusu mali zake wala pesa kama sina bora nikope aisee...
Bora umelitambua hilo mzee...ni vyema ukaisha na hawa viumbe kiburudani tuu...sii unaona wao wenyewe hawana noma ukiwachukulia kama sexmate cha msingi usiguse hela zao🤣🤣🤣🤣🤣

