wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

Marytina

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
9,738
Reaction score
8,005
home arusha, mama mchagga baba mngoni

jaman wakaka hamuumiagi na hamjifunzi?

think of wewe ni mdada mkali/mzuri na umejiremba, hamna hamna umetupia viwalo vyako hata kama vya mtumba ila umechagua sana na umevitafuta masoko yote ya mitumba.

....anatokea mkaka kunako wapi sijui hata kama ofisi mmoja mnafanyia na anaanza kukurushia mitego yake.Ukimcheki huyo mkaka hana cheo, hana hela hata za urithi kwao, elimu labda mko sawa (first degree) au umemzidi yaan una professional bodies qualifications mfano CPA, ACCA.

Au mkaka mwingine unakutana naye shopping anajifanya kukuelewa sana mara ooh hiki na kile mwishowe anaomba namba ya simu , kama kawaida mie huwajibu akitaka kuniona ajage palepale aliponionea siku hiyo.

...huwa nacheka na kujiuliza huwa hawaumii hawa kaka zetu wanapokataliwa????
kwa nini wasiende kubahatisha kwenye level zao/matawi yao wanajileta kwa vinavyoelea???

Note: MKAKA KAMA HUNA SHULE, MJASIRIAMALI WA UKWELI, HUNA HELA usijisumbe hutapendwa hata uwe handsome kivipi.Ukihurumiwa kama ni handsome unapewa uroda mara moja kisha ujiondokee
 
Marytina karibu tena mamake.

mmwweeehhh Nili miss hiyo mama Mchaga baba Mngoni.

anyway wanasema ridhiki kokote my dear .

hawa kaka zetu hawawezi jua elemu au financial situation yako
mpaka watakapo ongea nawe na wakujue vizuri . so waache tu
wajaribu .. sioni mbaya.

na huwezi jua mtu ana nini au tabia yake yukoje kwa kumwangalia tu.
ila sisi binadamu tunatabia ya ku "Judge" haraka mno. tunaangalia yule
kavaa nini, anakula wapi, ana gari ama bajaji etc halafu papo hapo tumesha
conclude ooohhhhh yule "tajiri, ama hana kitu " ...

mwisho wa silku...

life goes on ........................................
 
bolding,;lakini mapenzi ya kweli hayapo machoni mwa mtu au kwenye vitu alivyonavyo, yapo moyoni, inawezekana asiwe NA SHULE, SI MJASIRIAMALI WA UKWELI, HANA HELA lakini akapendwa tena kuliko huyo mwenye vyote hivyo,. watu tupo tofauti, sasa kama wanawake wote watawakimbilia wenye mali na elimu wale wasokua navyo waende wapi? na hao ni binadamu na wana haki ya kupendwa na kuheshimiwa kama wanaume wengine,.mbona mim nilimpenda machinga tena ambaye hakufika hata la saba wakati huo nipo form six, nimemzidi elimu mpaka kipato na mpaka leo twadumu kwa nguvu za maanan, twapendana asikuambie mtu., twasubiri tu kufunga ndoa soon suala la mapenzi bwana kwa tunaolijua haijalishi kitu bali ni utu,.waweza kuwa na vyoote hivyo lakini amani isiwepo,.. tuache ubaguzi kwenye mapenzi jamani, tupendane kweli kama tumeamua kujiingiza kwenye mapenzi,.mungu ndiye mpaji wa yote, hawezi kukuacha utaabike hadi mwisho, ipo siku tu atakuinua na wewe uwe kama wao wenye navyo,.cha muhimu ni uvumilivu, kama mmependana akiwa hana ndo wakati wa kushauriana ni jinsi gani utamsaidia kutokana na elimu au kipato ulichonacho na si kumtenga au kumdharau, huwezi jua atakua na msaada gani kwako huko baadae.
 
huu uzi naona kama wa kishamba vile!!! hivi mapenzi huwa yanajali elimu au pesa? wewe endelea kutafuta wenye elimu na mapesa then age i-push mwisho wa siku uzalishwe au utafute mume wa mtu wa kuzaa naye! tulishawaona wengi wenye hulka kama yako! ujana maji ya moto...yanapoa soon!
 
Na ndiyo maana wanawake wengi wasomi hawaolewi kwa sababu ya dharau, au hata kama wamesoma wote chuo wakamaliza, kisha wakaja kuoana ndoa zinakuwa hazidumu kwa sababu ya dharau,na wanaume hawapendi dharau.
wewe angalia kama anaweza kumdu maisha na mnaweza kukop pamoja, na mnaweza kutunza familia no matter what! hata kama ana degree wewe una master mheshimu, utaweza kujenga nyumba yenye heshima ,na utakuwa mfano kwa wote.

Marytina kuna wadada wako na tabia kama yako, mpk leo hii wako single kwa sababu ya kuchagua wanataka waolewe na wenye pesa, au wabunge, sasa hivyo vyote haviji hivi hivi bila kutafuta naye. Labda mtaolewa na wajane waliofiwa na wake zao.
 
Well said, kuna rafiki yangu yuko vizuri ameolewa na mkaka alikua hana kazi yoyote na std 7. Akamfungulia huyo kaka biashara ya saloon kumjaribu mambo yakaenda vizuri. baadae akanunua gari wakaifanya school bus mumewe ndio dereva, ameongeza nyingine wanaifanya tax mumewe ndio ananisimamia. Kwa kifupi wana maisha mazuri sana. Zaidi ya yote wanapendana kupita maelezo, wanasikilizana yaani sijui nisemeje so unaweza kubahatika ukapata mkaka hana kitu ila ana akili za maendeleo
 
nimekumiss ile mbaya dear
ni kweli huwezi jua status ya mtu kwa haraka ila kama yeye alipanga kuniwinda na anajua swaga zangu kwa nini hata asiigizie namna flani ili nimweke reserve list na kuanza kuchimbana mdogomdogo mwishoe nijue status yake
wanajikosesha wenyewe waha wakaka
 
Note: MKAKA KAMA HUNA SHULE, MJASIRIAMALI WA UKWELI, HUNA HELA usijisumbe hutapendwa hata uwe handsome kivipi.Ukihurumiwa kama ni handsome unapewa uroda mara moja kisha ujiondokee

bolding,;lakini mapenzi ya kweli hayapo machoni mwa mtu au kwenye vitu alivyonavyo, yapo moyoni, inawezekana asiwe NA SHULE, SI MJASIRIAMALI WA UKWELI, HANA HELA lakini akapendwa tena kuliko huyo mwenye vyote hivyo,. watu tupo tofauti, sasa kama wanawake wote watawakimbilia wenye mali na elimu wale wasokua navyo waende wapi? na hao ni binadamu na wana haki ya kupendwa na kuheshimiwa kama wanaume wengine,.mbona mim nilimpenda machinga tena ambaye hakufika hata la saba wakati huo nipo form six, nimemzidi elimu mpaka kipato na mpaka leo twadumu kwa nguvu za maanan, twapendana asikuambie mtu., twasubiri tu kufunga ndoa soon suala la mapenzi bwana kwa tunaolijua haijalishi kitu bali ni utu,.waweza kuwa na vyoote hivyo lakini amani isiwepo,.. tuache ubaguzi kwenye mapenzi jamani, tupendane kweli kama tumeamua kujiingiza kwenye mapenzi,.mungu ndiye mpaji wa yote, hawezi kukuacha utaabike hadi mwisho, ipo siku tu atakuinua na wewe uwe kama wao wenye navyo,.cha muhimu ni uvumilivu, kama mmependana akiwa hana ndo wakati wa kushauriana ni jinsi gani utamsaidia kutokana na elimu au kipato ulichonacho na si kumtenga au kumdharau, huwezi jua atakua na msaada gani kwako huko baadae.
achaga kuwadanganya wenzio.Nani anataka kuona wanae wakipigwa mabomu na virungu kisa wanaandamana kwenda BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU.....naamin kila mtu alitaka aweze kulipa ada kivyake wanae wasijefanywa vilema na polisi
 
Well said, kuna rafiki yangu yuko vizuri ameolewa na mkaka alikua hana kazi yoyote na std 7. Akamfungulia huyo kaka biashara ya saloon kumjaribu mambo yakaenda vizuri. baadae akanunua gari wakaifanya school bus mumewe ndio dereva, ameongeza nyingine wanaifanya tax mumewe ndio ananisimamia. Kwa kifupi wana maisha mazuri sana. Zaidi ya yote wanapendana kupita maelezo, wanasikilizana yaani sijui nisemeje so unaweza kubahatika ukapata mkaka hana kitu ila ana akili za maendeleo

upo sahihi kabisaaa
 
huu uzi naona kama wa kishamba vile!!! hivi mapenzi huwa yanajali elimu au pesa? wewe endelea kutafuta wenye elimu na mapesa then age i-push mwisho wa siku uzalishwe au utafute mume wa mtu wa kuzaa naye! tulishawaona wengi wenye hulka kama yako! ujana maji ya moto...yanapoa soon!
hakunaga mapenzi jamaa kupendana ni zama za kale.
Mungu kaniumba kila nguo kunikubali so wakaka jiangalieni sio kila mmoja anajiletaleta tu bila kujicheki cv yake
 
Utamtambuaje!,kumbuka kuna watu!! Huwa hawajioneshi,kama wana hela,au wameeducate!
ndio ila watu wa namna hii huwa wastaarabu sana wanapomuapproach mtu.
hela haijifichi kakaa, ngozi iliyonawiri inajulikana kwa macho so usipoteze muda kusikiliza tantarira za waleta mapenzi ya jadi
 
achaga kuwadanganya wenzio.Nani anataka kuona wanae wakipigwa mabomu na virungu kisa wanaandamana kwenda BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU.....naamin kila mtu alitaka aweze kulipa ada kivyake wanae wasijefanywa vilema na polisi

uongo upo wap sasa marytina??? kwani suala la elimu kama kusomesha watoto linashida gani? kwani nalo linahitaj mwenzi mwenye elimu? suala la kipato si lazima nyote muwe na uwezooo et ndo mtakua na maisha mazuri,. mmoja tu kwenye family akiwa vizuri na mkielewana hakuna tatizo, shida ni kwamba kizaz cha .com watu wanataka wakute mtu ana mali,kama mapesa, magari na majumba,. lol maisha haya yalishapita na wakati,.soma thread ya maty utaelewa namaanisha nini.
 
Na ndiyo maana wanawake wengi wasomi hawaolewi kwa sababu ya dharau, au hata kama wamesoma wote chuo wakamaliza, kisha wakaja kuoana ndoa zinakuwa hazidumu kwa sababu ya dharau,na wanaume hawapendi dharau.
wewe angalia kama anaweza kumdu maisha na mnaweza kukop pamoja, na mnaweza kutunza familia no matter what! hata kama ana degree wewe una master mheshimu, utaweza kujenga nyumba yenye heshima ,na utakuwa mfano kwa wote.

Marytina kuna wadada wako na tabia kama yako, mpk leo hii wako single kwa sababu ya kuchagua wanataka waolewe na wenye pesa, au wabunge, sasa hivyo vyote haviji hivi hivi bila kutafuta naye. Labda mtaolewa na wajane waliofiwa na wake zao.
nipe samahan
mimi sizungumzii mihela mingi ya wabunge
nachozungumzia ni kipato cha mwanaume kiwe ingalao milioni mbili kwa mwezi
 
Well said, kuna rafiki yangu yuko vizuri ameolewa na mkaka alikua hana kazi yoyote na std 7. Akamfungulia huyo kaka biashara ya saloon kumjaribu mambo yakaenda vizuri. baadae akanunua gari wakaifanya school bus mumewe ndio dereva, ameongeza nyingine wanaifanya tax mumewe ndio ananisimamia. Kwa kifupi wana maisha mazuri sana. Zaidi ya yote wanapendana kupita maelezo, wanasikilizana yaani sijui nisemeje so unaweza kubahatika ukapata mkaka hana kitu ila ana akili za maendeleo
miss u dear matty, it has been long time

hayo unayozungumzia ni mapenzi ya tamthilia na sio real life.Explore the opportunities kama zipo achanaga na kulilia mapenzi
 
Mimi ni Form Four Graduate & am proud of it, Degree holders wengi huwa nawaandikia Application letter zao na kiingereza chao wengi ni cha ugoko, kwa kifupi wametoka vyuoni kupata vyeti na si elimu wala maarifa.

Mimi ni Mwanaume kamili naweza kudate na Mwanamke yeyote yule atakayenivutia, anayedhani pesa ndio mapenzi aende Ohio akajiunge kwenye kuuza mwili wake.
 
home arusha, mama mchagga baba mngoni

jaman wakaka hamuumiagi na hamjifunzi?

think of wewe ni mdada mkali/mzuri na umejiremba, hamna hamna umetupia viwalo vyako hata kama vya mtumba ila umechagua sana na umevitafuta masoko yote ya mitumba.

....anatokea mkaka kunako wapi sijui hata kama ofisi mmoja mnafanyia na anaanza kukurushia mitego yake.Ukimcheki huyo mkaka hana cheo, hana hela hata za urithi kwao, elimu labda mko sawa (first degree) au umemzidi yaan una professional bodies qualifications mfano CPA, ACCA.

Au mkaka mwingine unakutana naye shopping anajifanya kukuelewa sana mara ooh hiki na kile mwishowe anaomba namba ya simu , kama kawaida mie huwajibu akitaka kuniona ajage palepale aliponionea siku hiyo.

...huwa nacheka na kujiuliza huwa hawaumii hawa kaka zetu wanapokataliwa????
kwa nini wasiende kubahatisha kwenye level zao/matawi yao wanajileta kwa vinavyoelea???

Note: MKAKA KAMA HUNA SHULE, MJASIRIAMALI WA UKWELI, HUNA HELA usijisumbe hutapendwa hata uwe handsome kivipi.Ukihurumiwa kama ni handsome unapewa uroda mara moja kisha ujiondokee

wewe
huyo unayemsema yumo humu?? Asijekuwa hayumo unatusema tusiohusika.
Mwandikie tu MSG itamfikia
 
upo sahihi kabisaaa

katika hii ofisi yetu hamna girl mwenye mwanaume wa hali ya chini na hamna anayetaka kusikia habari hiyo kabisaaa

nafanya kazi kutafuta hela na sio kudumisha mapenzi
 
Back
Top Bottom