Pc yangu imepata hitilafu.
Nikiiwasha inawaka kama kawaida.
Tatizo ni kwamba haioneshi mafail, inaonesha kasa na hii kasa inamove kama kawaida lakin haioneshi kitu kingne zaid ya mwanga tu.
Kwa mtu ambaye anaweza kunisaidia cha kufanya (first aid) naomba tafadhari ili niokoe documents zangu.
Apo kama huna ka utaaalam itakupa shida kidoogo... Hakuna file lolote lililopotea apo pc iko safi... Hii sometimes husababishwa na update ya internet explorer... Unatakiwa upate upenyo tu u rollback... Ina troubleshooting nying nying kujua tatizo