Wajuzi tusaidieni kwa hili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajuzi tusaidieni kwa hili!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KakaKiiza, Jul 19, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Nina SanDisk........inapicha naziona kwenye kamera lakini nikiweka kwenye card reader hazionekani...nimeenda kwenye hidden folder nimeweka sawa lakini bado hazionekani hivyo wanabody naomba msaada!!
   
 2. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  check drivers kama zipo installed zote vizuri
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Download USB show inapatikana bure na ni ndogo tu utaona kila kitu
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Mkuu ninaona hadi folder lakini ukilifungua halina kitu!!na ukiona property imejaa iko full!!
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,805
  Likes Received: 7,126
  Trophy Points: 280
  possible inawezekana format ya hizo picha sio za kawaida ndo mana haziwi detected au zimefichwa maksudi nakushauri ukiifungua tumia software andavanced za picha mfano PICASA niliwah pata tatizo kama hilo thats how nlivosolve
   
 6. leh

  leh JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  utakuta zimewekwa kama system files. kwasababu naona una utaalam wa kuweza show hidden files, sitakubore kwa kueleza wapi utaweza kuiona. hapounapo tick show hiden files, scroll chini mpaka palipoandikwa *Hide Protected Operating system files (Recommended) untick then uone.
  utapewa warning ni windows isemayo [​IMG]click yes

  make sure options ya hidden files ni unticked. unatakiwa uwe na kitu kama hichi [​IMG]

  click apply then anagalia picha zako. kama bado huzioni, una kirusi ambacho kinafanya hidden files zisionekane. kujua kama ni so, nenda kwa desktop create new folder alafu kwa properties zake apply *hidden*. ukiclick ok, inatakiwa isipotee. ikipotea.. kirusi..........
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimefanya hivyo lakini wapi!!
   
 8. leh

  leh JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  umejaribu kuficha folder moja kwa desktop?
   
 9. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Yeah nimefanya hivyo lakini folder ipo...hata hivyo nina kaspaersky...
   
 10. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ngoja kwanza ni_logout
  Ntarudi baada wyf kani bip,
  na2mia mobile device
   
 11. leh

  leh JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kah, hii nayo inanitoa jasho :biggrin:

  sio kirusi.. mmc inasoma vizuri kama unaona space iliyopo. mkuu hebu nipe nusu saa I think it over, nikirudi niwe na approach mpya
  kaaah
   
 12. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  i appriciate!
   
 13. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Time to do it the old way.Fungua program ya ku-burn. Nero works just fine.

  Chagua aidha cd au dvd kulingana na ukubwa wa kadi yako.
  Then copy the whole card to the Nero project.
  Kwa kuwa umecopy folder lote, ukilifungua utaona hizo picha, probably looking hidden.
  Cut and paste kwenye root folder ya cd au dvd. Then right click na ucheck option ya ku-unhide kwenye properties kama sijakosea.
  Then burn your project as an image file, either nrg or iso.
  Afterwards hakiki kama zinaonekana, format kadi kutumia device yake (camera or phone).
  Then copy paste to the card, and let us know what happened.And by the way unatumia OS gani Shevchenko?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...