Wajuzi na watumiaji wa Mac Computer.

Wajuzi na watumiaji wa Mac Computer.

qq.com

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2012
Posts
367
Reaction score
123
Wadau.Kuna jamaa yangu anataka kuniuzia computer ya mac os x ninataka kuitumia katika mambo ya audio & video editing lakini nimekwenda kuijaribu.imenitoa ushamba kwani ni tofauti kabisa na hizi window (sijwahi kuitumia kabla).lakini nimeweza kunukuu baadhi ya specification zake. kama hapo chini.

Hardware Overview.
Machine Model: Power Mac G.4
CPU Model-Power PC G4(2.1)
Number of CPU-2
L2 Cache per CPU 256kb
L3 Cache Per CPU 2MB
CPU Speed 800mhz
Memory 1GB
Bus Speed 133mhz
Boot Room Version 4.2.5fi
Serial Number CK131H15KSE
HDD 70GB

Memory
DIMMO/J21 512(SIZE),sdram(type) and PC133 Speed.

So naomba wajuzi wa hizi computer wanisaidie kwa hii machine.

nitashukuru sana

 
kwa upande wangu na kwa kazi unayotaka kufanya specification zake ndogo, sasa kama kuitumia umeshindwa utafanyaje kazi kwa kuitumia?

Ombi hapa siyo kutaka kujua matumizi yake! Ninachoomba kujua ni je kwa hizi Specification zake inaweza kufanya kazi?.Mambo ya kutumia ni iissue ndogo mkuu.
 
Ombi hapa siyo kutaka kujua matumizi yake! Ninachoomba kujua ni je kwa hizi Specification zake inaweza kufanya kazi?.Mambo ya kutumia ni iissue ndogo mkuu.

Jibu langu limeambatana na maelezo kuwa kwa kazi unayotaka fanya hizo specifics ni ndogo hayo mengine nilikuwa nauliza tu
 
mkuu mimi natumia mac pro desktop..kwa kuedit.graphics na audio..msikilize mdau juu hapo..tafuta nyingine hiyo utakesha...
 
Ombi hapa siyo kutaka kujua matumizi yake! Ninachoomba kujua ni je kwa hizi Specification zake inaweza kufanya kazi?.Mambo ya kutumia ni iissue ndogo mkuu.

Hiyo usinunue ni ndogo sana kwa hizo kazi ulizo zitaja
 
Nawashukuru kwa ushauri.
asanteni
 
Mkuu tafuta iMac, hakuna macbook Pro desktop, io macbook pro ni laptop. Specs zipate Apple, anayetaka kukuuzia anafanya hivyo akijua hiyo imepitwa na wakati, kila la heri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom