Wajuzi kwenye biashara ya mazao

Wajuzi kwenye biashara ya mazao

@TONYLOVE,maelezo yako ni mazuri yanaeleweka,sasa tuje kwenye soko,unauzia wapi,je kuna process gani au ndo unamwachia dalali,kama ndivyo,hawana usumbufu wa kulipa pesa?,au unafika na kuuza mzigo cash
 
Elungata. Masoko yapo mkuu wangu. kahama shinyanga.unapeleka mzingo unapima kwenye mzani huku wewe unaandika kilo zako baada hapo mnapiga hesabu unapatiwa pesa yako hakuna longolongo.
 
Kwa ambae ana mtaji, biashara ya karanga na mahindi inalipa sana hasa karanga, kuna mkoa wa tabora vijijin unanunua karanga za maganda unakoboa unapeleka kichele wilaya ya kahama mjin, kuna masoko mengi ya kalanga pia kama ukiwa na mtaji mkubwa unaweza kupeleka machine ya kukoboa karanga gunia moja la maganda unakomboa kwa buku moja. lita tano ya mafuta unaweza kukoboa zaid ya gunia 70 kwa masaa 4 hapo faida kama 58000. kuna fulsa nying sana ndugu zangu mimi nimeifanya hii biashara, mwezi wa pili mwishon karanga zitakuwa zimeiva. nina mengi ya kuelezea lakini nimeanzima simu hapa maana smat phone yangu niliibiwa jana. najipanga ninunue nyingine.
Samahani ndg, kwa kahama soko la karanga lipo sehemu gani? Au kuna agent ambaye ananunua maana mimi nipo ushirombo.
 
Kwa ambae ana mtaji, biashara ya karanga na mahindi inalipa sana hasa karanga, kuna mkoa wa tabora vijijin unanunua karanga za maganda unakoboa unapeleka kichele wilaya ya kahama mjin, kuna masoko mengi ya kalanga pia kama ukiwa na mtaji mkubwa unaweza kupeleka machine ya kukoboa karanga gunia moja la maganda unakomboa kwa buku moja. lita tano ya mafuta unaweza kukoboa zaid ya gunia 70 kwa masaa 4 hapo faida kama 58000. kuna fulsa nying sana ndugu zangu mimi nimeifanya hii biashara, mwezi wa pili mwishon karanga zitakuwa zimeiva. nina mengi ya kuelezea lakini nimeanzima simu hapa maana smat phone yangu niliibiwa jana. najipanga ninunue nyingine.
Kuhusu soko la kahama ni sehemu gani hasa ambapo wananunua hizi karanga, soko kuu au? Maana mimi pande za ushirombo hivyo nataka kwenda kulicheki soko then nifate mzigo.
 
TONY LOVE naomba mawasiliano yako nahitaji unifahamishe zaidi kuhusu hii biashara ya karanga ni pm contact zako please!
 
Hii biashara ni nzuri sana,kutunza mazao ndani ukisubili yapande bei ipo siku utalia kilio cha mbwa koko kama nilivyolia mimi mwaka juzi,Sisi huku unaingia kijijini kabla hujanunua unaulizia town bei gani lets say kijijini mahindi debe ni tsh.3000/= na town ni tsh 4000/= so unanunua hata debe 100 asubuhi jioni unaziuza town cha juu ndo faida,na kesho mzigoni tena kama kawa ukizungusha mara tano uko mbali sana
Well said
 
hello,vp ushanunua cmu ?
Kwa ambae ana mtaji, biashara ya karanga na mahindi inalipa sana hasa karanga, kuna mkoa wa tabora vijijin unanunua karanga za maganda unakoboa unapeleka kichele wilaya ya kahama mjin, kuna masoko mengi ya kalanga pia kama ukiwa na mtaji mkubwa unaweza kupeleka machine ya kukoboa karanga gunia moja la maganda unakomboa kwa buku moja.

lita tano ya mafuta unaweza kukoboa zaid ya gunia 70 kwa masaa 4 hapo faida kama 58000. kuna fulsa nying sana ndugu zangu mimi nimeifanya hii biashara, mwezi wa pili mwishon karanga zitakuwa zimeiva. nina mengi ya kuelezea lakini nimeanzima simu hapa maana smat phone yangu niliibiwa jana. najipanga ninunue nyingine.
 
Hii biashara ni nzuri sana,kutunza mazao ndani ukisubili yapande bei ipo siku utalia kilio cha mbwa koko kama nilivyolia mimi mwaka juzi,Sisi huku unaingia kijijini kabla hujanunua unaulizia town bei gani lets say kijijini mahindi debe ni tsh.3000/= na town ni tsh 4000/= so unanunua hata debe 100 asubuhi jioni unaziuza town cha juu ndo faida,na kesho mzigoni tena kama kawa ukizungusha mara tano uko mbali sana

kuliko kuyahifadhi mara yaharibike hasara kubwa
 
darubin. mkoa tabora wilaya ya kaliua,jimbo la ulyankulu.vijiji vingi.kuna mnange. ukungwe. ipeja. uyoa. kona nne. usafiri unapatikana mkuu. changamoto kupata mtu mwaminifu pia mzoefu wa kazi. mie nimeifanya na ndungu yangu zaid ya miaka 3. changamoto zote nazijua pia hata masoko ya kuuzia karanga nayafahamu.
Naomba namba yako ya simu
 
Back
Top Bottom