Kwa ambae ana mtaji, biashara ya karanga na mahindi inalipa sana hasa karanga, kuna mkoa wa tabora vijijin unanunua karanga za maganda unakoboa unapeleka kichele wilaya ya kahama mjin, kuna masoko mengi ya kalanga pia kama ukiwa na mtaji mkubwa unaweza kupeleka machine ya kukoboa karanga gunia moja la maganda unakomboa kwa buku moja. lita tano ya mafuta unaweza kukoboa zaid ya gunia 70 kwa masaa 4 hapo faida kama 58000. kuna fulsa nying sana ndugu zangu mimi nimeifanya hii biashara, mwezi wa pili mwishon karanga zitakuwa zimeiva. nina mengi ya kuelezea lakini nimeanzima simu hapa maana smat phone yangu niliibiwa jana. najipanga ninunue nyingine.[/QUOTEnina 3 million naweza kuanza hii biashara