6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 3,952
- 8,807
Je kama hakuondoa na kuendelea kuuwa kina mama na watoto, huku Hamas wakiwa wameshawaachia mateka wote na miili 58?Xi Jinping mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Amejenga hojaaridhawa kuwa Hams wawaachie mateka 20 na kirudisha miili 58 naye ataondoa majeshi yake siku hiyo hiyo.
Kama wanavunja sheria za kimataifa kwa kuendelea kuvamia ardhi za wapalestina huko West Bank, unadhani hilo la kuendelea kuuwa watu hata baada ya mateka kuachiwa litashindikana?