Wajumbe wa Majimbo Marekani Kumchagua Raisi Leo

kwemanga1

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
839
599
Naomba kuelimishwa nimesoma kwenye wall ya Mwananchi katika fb nimeshindwa kuelewa kwa wanaofahamu huu utaratibu msaada wa kueleweshwa
 
Naomba kuelimishwa nimesoma kwenye wall ya Mwananchi katika fb nimeshindwa kuelewa kwa wanaofahamu huu utaratibu msaada wa kueleweshwa
Electrol collage hyo inaenda kumthbitisha DT hapo,maana wawakilishi wanaoenda ni wale wa chama chake tuuu,maana alishashinda.ni formality tuu ingawa wanaweza kumkataa lakini haijawahi tokea na haitatokea safari hii.
 
Back
Top Bottom