Wajumbe kwenye picha ya pamoja

Wajumbe kwenye picha ya pamoja

Huyo mzee mweny pengo anacheka nahisi ndo mkata umeme mkuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*ZIJUE LUGHA ZA WAJUMBE*

"tupo pamoja"
"tupo nyuma yako"
"unakubalika sana"
"umeeleweka sana" "sifa zako zilitangulia kabla yako hata huna sababu ya kuongea nasi
" "wewe ni jembe"
"Subiri kuapishwa tu"
"Akitupa tunakulaga "
"Wewe ndio chaguo la Mungu"
"Uchaguzi unachelewa sana ..uwe hata leo..."

Ongezea kwa Uliyewahi Kujeruhiwa na Wajumbe,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]View attachment 1516765
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
IMG_20200728_185116_730.jpg
 
Kikubwa muwe na akiba ya maneno pale mtakapomuona anaitwa mbunge.mje na maneno yenu haya haya
 
Back
Top Bottom