Wajumbe kwenye picha ya pamoja

Wajumbe kwenye picha ya pamoja

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,905
Reaction score
4,948
Wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kigamboni..kwenye joint picture
IMG-20200722-WA0069.jpg
 
*ZIJUE LUGHA ZA WAJUMBE*

"tupo pamoja"
"tupo nyuma yako"
"unakubalika sana"
"umeeleweka sana" "sifa zako zilitangulia kabla yako hata huna sababu ya kuongea nasi
" "wewe ni jembe"
"Subiri kuapishwa tu"
"Akitupa tunakulaga "
"Wewe ndio chaguo la Mungu"
"Uchaguzi unachelewa sana ..uwe hata leo..."

Ongezea kwa Uliyewahi Kujeruhiwa na Wajumbe,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
IMG-20200725-WA0034.jpg
 
Kila jamaa waliopatiwa kura kiduchu wakiziona hata picha tu za wajumbe wanaziamkia🤣🤣🤣🤣
 
*ZIJUE LUGHA ZA WAJUMBE*

"tupo pamoja"
"tupo nyuma yako"
"unakubalika sana"
"umeeleweka sana" "sifa zako zilitangulia kabla yako hata huna sababu ya kuongea nasi
" "wewe ni jembe"
"Subiri kuapishwa tu"
"Akitupa tunakulaga "
"Wewe ndio chaguo la Mungu"
"Uchaguzi unachelewa sana ..uwe hata leo..."

Ongezea kwa Uliyewahi Kujeruhiwa na Wajumbe,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]View attachment 1516765
😂😂😂😂😂
 
Wajumbe Nyoko Zao!!!
Hawana Hata Huruma, Pesa Wanapokea Ila Kura Hawatoi. 😀😁😂😅😏😄😃🤣🤣
 
Wajumbe Wakiburudika Baada Ya Majukumu Mazito Ya Taifa
Wajumbe Waheshimiwe Popote Walipo

 
Back
Top Bottom