Wajue Zitto, Slaa na Mbowe na tofauti zao

Chadema ni sawa na mbuyu mkubwa unaoliwa na mchwa ndani kwa ndani, siku ukianguka ndio watu watajua ubovu wake

1386961257102.jpg
 
Nianze kwa kuzungumzia mapungufu ya hawa watu wawili dk slaa na zitto kabwe ili jamii ielewe nani alianguka wapi na na wapi alianguka nani

DK SLAA

Kiukweli dhahama inayomkuta Zitto hivi karibuni ni baraka za dokta slaa. Dokta alilijua hili mapema na alikuwa na jukumu la kumuita Zitto na kumuweka chini kisha kumuonya kwa mienendo yake na kumrudisha kwenye mstari ulionyooka. Ilikikuwa ni busara kwa dk kama sehemu ya balaza la wazee kumshauri Zitto bila kuchoka kama kijana wake juu ya mwenendo wake
Ila alichokifanya dokta ni kushirikiana na viongozi wenzake wa juu wa chama kumtenga na kumuona kama msaliti badala ya kumshauri.Dokta ameutumia mwenendo huu wa Zitto kama fimbo ya kumchapia Zitto kwa maslai yake binafsi ya kuondoa ushidani wa mtu yeyote dhidi yake na huku akiuficha ukweli huu kwa naneno ya kukijenga chama dhidi ya wasaliti

ZITTO KABWE

Ni kijana aliyepambanua kama mzalendo ila kiukweli ana mapungufu ambayo siyo sehemu ya uzalendo kama mwanasiasa.Hali ya kuwaona wenzio hawafai na kujiona wewe ni bora kuliko wenzio ni udhaifu mkubwa.Kama unaona uongozi haufai kwanini usiwe wazi na kuyaweka haya hadharani na wao wakajua au kwanini usikae na kuongea na viongozi wa chama juu ya udhaifu wao na wapi wajilekebishe hii ni tabia ya ubinafsi na upenda sifa kwa maslai binafsi na tabia hizi hupelekea mtu kuwa na tamaa ya madaraka

VIONGOZI WENGINE NDANI YA CHAMA HASA WABUNGE

Ni fedheha kwa kiongozi wa chama au mbunge kujipendekeza kwa viongozi wa juu wa chama na kuongea maneno ambayo wao viongozi wa juu wa chama wanapenda kuyasikia na yanawafurahisha au kuwatetea ili mradi tu na wewe wakufikirie au au wakutafutie nafasi furani.Kumbuka kuwa unauza utu wako kwa maslai yako binafsi ila jua ya kwamba na wao wanakupa nafasi hiyo kwa maslai yao binafsi ili wakutumie
Watu tunaamini kwenye siasa za kusema na kutenda.Lakini naona sisi wapinzani tumeegemea kwenye kusema bila hata ya kutenda mfano mzuri ni majimboni mwetu tumefanya nini.Tupo radhi tukitetee chama kuliko nchi tuko tayari kumtetea mwanachama kuliko mwananchi hata kama udhaifu umeonekana. Ikumbukwe kuwa wanachama pekee hawawezi kukipa ushindi chama ila wananchi wanauwezo wakukipa ushindi chama kwa kwani wanachama sehemu ndogo ya wananchi

WITO WANGU
hakuna msafi ndani ya chama ndo maana huyu yupo kundi hili na yule yupo kundi lile cha muhimu ni kwamba
Viongozi wasijisahau na kujifanya wao ni miungu watu wanaojua kila kitu huku wakutumia fedha za wanachama kuwadharau hao hao wanachama waliowapa dhamana ya kuwaongoza na kutumia sera za umaskini wa watanzania kuficha udhaifu wao. Tuwe wazalendo wa kweli kwa kusimamia sera ya kusema na kutenda
Any fool can criticize, condemn, and complain -- and most fools do (Dale Carnegie)
 
sa mbona inakuwa tabu kujua nani kaanguka wapi na wapi kaanguka nani?? pia ujifunze kuandkika kiswahili L na R ni herufi tofauti tumia kwa usadifu. kifikra kama chama kinaweza kutoa uchafu ni jambo zuri kuliko kuuficha!!! kuna kuwa msafi na kuonekana msafi.. nafikiri ni vizuri kuwa msafi maana kuonekana msafi inawezekana tuu ukawa umeficha uchafu.. nahisi hawa wengine wameficha.. na hii ina maana kama kuna uchafu mwingine utaona tuu unaamua aidha kujitoa wenyewe au kujitakasa.. kazi nzuri na haijaanza leo... kuanzia kwenye matawi... madiwani na viongozi wa mikoa... hawataki uchafu na hii iko wazi kwenye sera zao.. wanatimiza wajibu wao, uchafu utolewe tuu hakuna jinsi kama unaweza kaungane na waficha uchafu..
 
Nianze kwa kuzungumzia mapungufu ya hawa watu wawili dk slaa na zitto kabwe ili jamii ielewe nani alianguka wapi na na wapi alianguka nani

DK SLAA

Kiukweli dhahama inayomkuta Zitto hivi karibuni ni baraka za dokta slaa. Dokta alilijua hili mapema na alikuwa na jukumu la kumuita Zitto na kumuweka chini kisha kumuonya kwa mienendo yake na kumrudisha kwenye mstari ulionyooka. Ilikikuwa ni busara kwa dk kama sehemu ya balaza la wazee kumshauri Zitto bila kuchoka kama kijana wake juu ya mwenendo wake
Ila alichokifanya dokta ni kushirikiana na viongozi wenzake wa juu wa chama kumtenga na kumuona kama msaliti badala ya kumshauri.Dokta ameutumia mwenendo huu wa Zitto kama fimbo ya kumchapia Zitto kwa maslai yake binafsi ya kuondoa ushidani wa mtu yeyote dhidi yake na huku akiuficha ukweli huu kwa naneno ya kukijenga chama dhidi ya wasaliti

ZITTO KABWE

Ni kijana aliyepambanua kama mzalendo ila kiukweli ana mapungufu ambayo siyo sehemu ya uzalendo kama mwanasiasa.Hali ya kuwaona wenzio hawafai na kujiona wewe ni bora kuliko wenzio ni udhaifu mkubwa.Kama unaona uongozi haufai kwanini usiwe wazi na kuyaweka haya hadharani na wao wakajua au kwanini usikae na kuongea na viongozi wa chama juu ya udhaifu wao na wapi wajilekebishe hii ni tabia ya ubinafsi na upenda sifa kwa maslai binafsi na tabia hizi hupelekea mtu kuwa na tamaa ya madaraka

VIONGOZI WENGINE NDANI YA CHAMA HASA WABUNGE

Ni fedheha kwa kiongozi wa chama au mbunge kujipendekeza kwa viongozi wa juu wa chama na kuongea maneno ambayo wao viongozi wa juu wa chama wanapenda kuyasikia na yanawafurahisha au kuwatetea ili mradi tu na wewe wakufikirie au au wakutafutie nafasi furani.Kumbuka kuwa unauza utu wako kwa maslai yako binafsi ila jua ya kwamba na wao wanakupa nafasi hiyo kwa maslai yao binafsi ili wakutumie
Watu tunaamini kwenye siasa za kusema na kutenda.Lakini naona sisi wapinzani tumeegemea kwenye kusema bila hata ya kutenda mfano mzuri ni majimboni mwetu tumefanya nini.Tupo radhi tukitetee chama kuliko nchi tuko tayari kumtetea mwanachama kuliko mwananchi hata kama udhaifu umeonekana. Ikumbukwe kuwa wanachama pekee hawawezi kukipa ushindi chama ila wananchi wanauwezo wakukipa ushindi chama kwa kwani wanachama sehemu ndogo ya wananchi

WITO WANGU
hakuna msafi ndani ya chama ndo maana huyu yupo kundi hili na yule yupo kundi lile cha muhimu ni kwamba
Viongozi wasijisahau na kujifanya wao ni miungu watu wanaojua kila kitu huku wakutumia fedha za wanachama kuwadharau hao hao wanachama waliowapa dhamana ya kuwaongoza na kutumia sera za umaskini wa watanzania kuficha udhaifu wao. Tuwe wazalendo wa kweli kwa kusimamia sera ya kusema na kutenda

nimeheshimu mawazo yako.
 
Nianze kwa kuzungumzia mapungufu ya hawa watu wawili dk slaa na zitto kabwe ili jamii ielewe nani alianguka wapi na na wapi alianguka nani

DK SLAA

Kiukweli dhahama inayomkuta Zitto hivi karibuni ni baraka za dokta slaa. Dokta alilijua hili mapema na alikuwa na jukumu la kumuita Zitto na kumuweka chini kisha kumuonya kwa mienendo yake na kumrudisha kwenye mstari ulionyooka. Ilikuwa ni busara kwa dk kama sehemu ya balaza la wazee kumshauri Zitto bila kuchoka kama kijana wake juu ya mwenendo wake
Ila alichokifanya dokta ni kushirikiana na viongozi wenzake wa juu wa chama kumtenga na kumuona kama msaliti badala ya kumshauri na kumsaidia.Dokta ameutumia mwenendo huu wa Zitto kama fimbo ya kumchapia Zitto kwa maslai yake binafsi ya kuondoa ushidani wa mtu yeyote dhidi yake na huku akiuficha ukweli huu kwa naneno ya kukijenga chama dhidi ya wasaliti

ZITTO KABWE

Ni kijana aliyepambanua kama mzalendo ila kiukweli ana mapungufu ambayo siyo sehemu ya uzalendo kama mwanasiasa.Hali ya kuwaona wenzio hawafai na kujiona wewe ni bora kuliko wenzio ni udhaifu mkubwa.Kama unaona uongozi haufai kwanini usiwe wazi na kuyaweka haya hadharani na wao wakajua au kwanini usikae na kuongea na viongozi wa chama juu ya udhaifu wao na wapi wajilekebishe hii ni tabia ya ubinafsi na upenda sifa kwa maslai binafsi na tabia hizi hupelekea mtu kuwa na tamaa ya madaraka

VIONGOZI WENGINE NDANI YA CHAMA HASA WABUNGE

Ni fedheha kwa kiongozi wa chama au mbunge kujipendekeza kwa viongozi wa juu wa chama na kuongea maneno ambayo wao viongozi wa juu wa chama wanapenda kuyasikia na yanawafurahisha au kuwatetea ili mradi tu na wewe wakufikirie au au wakutafutie nafasi furani.Kumbuka kuwa unauza utu wako kwa maslai yako binafsi ila jua ya kwamba na wao wanakupa nafasi hiyo kwa maslai yao binafsi ili wakutumie
Watu tunaamini kwenye siasa za kusema na kutenda.Lakini naona sisi wapinzani tumeegemea kwenye kusema bila hata ya kutenda mfano mzuri ni majimboni mwetu tumefanya nini.Tupo radhi tukitetee chama kuliko nchi tuko tayari kumtetea mwanachama kuliko mwananchi hata kama udhaifu umeonekana. Ikumbukwe kuwa wanachama pekee hawawezi kukipa ushindi chama ila wananchi wanauwezo wakukipa ushindi chama kwa kwani wanachama sehemu ndogo ya wananchi

WITO WANGU
hakuna msafi ndani ya chama ndo maana huyu yupo kundi hili na yule yupo kundi lile cha muhimu ni kwamba
Viongozi wasijisahau na kujifanya wao ni miungu watu wanaojua kila kitu huku wakutumia fedha za wanachama kuwadharau hao hao wanachama waliowapa dhamana ya kuwaongoza na kutumia sera za umaskini wa watanzania kuficha udhaifu wao. Tuwe wazalendo wa kweli kwa kusimamia sera ya kusema na kutenda​
 
Isaac,

Kwanza dhana ya makundi hapa haipo na waliojaribu kujenga makundi wamechukuliwa hatua za kinidhamu kwa mujibu wa katiba.Kujenga mtandao na makundi ni kinyume cha katiba na hakuna chama kitakachoweza kupona kwa kufumbia macho vitendo hivyo

Pili,Sipendi kuongelea hili mara kwa mara lakini wacha niseme

Dr.Slaa ni katibu mkuu na mtendaji mkuu wa chama.Nje ya kusimamia katiba na kanuni katika utendaji ni lazima niwe mkweli kuwa mara nyingi amekua akichukua hatua za kiutu kama kiongozi,kama mlezi na kama mwalimu.Amekua akiwaonya viongozi na hata kutoa nasaha kwa watendaji kirafiki kabisa

Mimi binafsi alishawahi kunionya na kunishauri mara kadhaa alipoona mwenendo wangu kisiasa ulikua unapotoka na kuniangamiza kisuasa mimi binafsi na hata kitaasisi.Kwa waliokua Geita April 20,2012 wanaweza kushuhudia hili

Hata vijana ambao walihamia CCM baada ya kufukuzwa CHADEMA mara kadhaa alijitahidi kuwarudisha katika mstari na hata wakati mwingine Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Vijana aliwahi kumuita nyumbani kwake siku ya Jumapili baada ya kugundua mpango wa kuitisha mkutano na waandishi wa habari kwa malengo mabaya.Dr.Slaa alipunja muda wa kupumzika na familia yake na kujitoa kwa ajili ya kuzungumza na kiongozi wa vijana aliyekua anaenenda mwenendo usiofaa.Sasa hili ni moja tu kati ya mengi

Watendaji wa makao makuu wanajua jinsi katibu mkuu anavyochukua hatua ya kuonya na kufundisha mara kwa mara kama kiongozi,Mtendaji na mwalimu katika suala zima la utendaji kiofisi.

Mleta mada kwa kweli amepotosha,hana taarifa sahihi na hataki kufanya utafiti au ana malengo binafsi anayoyajua yeye.

Huu ndio ukweli.

Asanteni.
 
Your're so stupid you threw a rock at the ground and missed.
 
its good to be a fool who is aware of his foolishness (insteady of being) a fool who is not aware of his foolishness
Poor guy! Look here.... You would have said: Better a fool who is aware of his/her foolishness than a fool unaware of his/her foolishness!
 
Politics is also an art of choosing sides..Zitto sio mtoto mdogo kiasi ashindwe kuelewa jema na baya kwenye siasa zake..
 
Isaac,

Kwanza dhana ya makundi hapa haipo na waliojaribu kujenga makundi wamechukuliwa hatua za kinidhamu kwa mujibu wa katiba.Kujenga mtandao na makundi ni kinyume cha katiba na hakuna chama kitakachoweza kupona kwa kufumbia macho vitendo hivyo

Pili,Sipendi kuongelea hili mara kwa mara lakini wacha niseme

Dr.Slaa ni katibu mkuu na mtendaji mkuu wa chama.Nje ya kusimamia katiba na kanuni katika utendaji ni lazima niwe mkweli kuwa mara nyingi amekua akichukua hatua za kiutu kama kiongozi,kama mlezi na kama mwalimu.Amekua akiwaonya viongozi na hata kutoa nasaha kwa watendaji kirafiki kabisa

Mimi binafsi alishawahi kunionya na kunishauri mara kadhaa alipoona mwenendo wangu kisiasa ulikua unapotoka na kuniangamiza kisuasa mimi binafsi na hata kitaasisi.Kwa waliokua Geita April 20,2012 wanaweza kushuhudia hili

Hata vijana ambao walihamia CCM baada ya kufukuzwa CHADEMA mara kadhaa alijitahidi kuwarudisha katika mstari na hata wakati mwingine Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Vijana aliwahi kumuita nyumbani kwake siku ya Jumapili baada ya kugundua mpango wa kuitisha mkutano na waandishi wa habari kwa malengo mabaya.Dr.Slaa alipunja muda wa kupumzika na familia yake na kujitoa kwa ajili ya kuzungumza na kiongozi wa vijana aliyekua anaenenda mwenendo usiofaa.Sasa hili ni moja tu kati ya mengi

Watendaji wa makao makuu wanajua jinsi katibu mkuu anavyochukua hatua ya kuonya na kufundisha mara kwa mara kama kiongozi,Mtendaji na mwalimu katika suala zima la utendaji kiofisi.

Mleta mada kwa kweli amepotosha,hana taarifa sahihi na hataki kufanya utafiti au ana malengo binafsi anayoyajua yeye.

Huu ndio ukweli.

Asanteni.
tutashukuru sana pia kama utatujulisha juhudi za Dr. katika kumsaidia, kumrudi na kumrekebisha ZZK ambaye ni umri wa mtoto wa kumzaa!.
Ziizungumzii tena ile incident ya sumu ya panya pale lunch time!, naamini ule ni uongo, sio kweli kuwa ulitumwa bali ilikuwa ni sumu ya panya kwa ajili ya kuulia panya!.

Kiukweli ningekuwa Chadema, ningeshauri usaidie Makene kuimarisha kitengo wakati ukisubiria zamu yako Bavicha, you are doing a good job na haswa katika kumtetea mkuu hivyo kukitetea Chadema kwa ujumla!.
Pasco
 
Back
Top Bottom