Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,487
- 2,351
Inashangaza na kustaabisha kuona MAKADA wa CCM wakiteseka sana na UENYEKITI wa KAMANDA MBOWE.Najiribu kujiuliza ni UJINGA wa Hao MAKADA kuacha kuhangaika na CHAMA chao na kuhangaika na UENYEKITI wa MBOWE?Sikumtarajia mtu kama Kigwangalah kushindwa kusema UKWELI juu ya KILICHOMFUKUZISHA Bwana ZITTO Chadema.Kamanda MBOWE endelea kushikiria UENYEKITI wako hata MILELE hawa Wajinga jinga Wanaohoji wazidi kuonyesha UJINGA wao.WEWE ni JIWE la PEMBENI lililowashinda WAASHI.