Wajue Wanawake

Wajue Wanawake

Mkuu kwenye mizinga hawanaga umri ila tofauti gia tu na bei
Hahaha mashugar awapigi mizinga mkuu,labda akukope na kweli wanaludisha.

Wao shida Yao kubwa Ni Ngono,yani ngono,muda wote kwao sawa Tu,ndo maana hutaka vijana wadogo ambao damu ndo inachemka
 
Yaan wanawake sivyo ulivyojifunza kabisaaaaa, wako tofauti tena kwa mbali ajabuu
 
Back
Top Bottom